Baadhi yao Wanafahamiana nje ya JF.Mpaka sasa siamini inakuaje watu wanatongozana JF š¤£.
yaani unatongozaje ID ya kike, Unakua una imagine kitu gani? Au ni hz thread za uongo na ukweli za hapa jukwaaani
Kwa wengine kama kidudu kama the Gunner, yeye anabadili mwandiko wa mtu na kuupa taswira ya mtu anayemtaka.