min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
- Thread starter
- #201
Wanaume unono wetu tulikubaliana ni pesa mchumba 🤗Aiseeh, kumbe humu JF kuna kuonana, mbona mimi hakuna mtu nimewahi kumuona.
Nionyesheni basi mlivyo wanono 😎
Naanza na nyie vijana Harmful , dosho12 , mshamba_hachekwi , Nomadiq - reveal yourselves!