Picha mnaonaga wp nyie?
Nenda selfika mzee, kuna pisi kali. 😊
Picha mnaonaga wp nyie?
Hamna sahivi me ni mkimya 😁😹harmful hakosagi neno nakuambia
Anaongea huyo 😅😹harmful hakosagi neno nakuambia
ni sawa tu bwashwee,kwako dada kwangu Makiwendo ni PISI KALI,hahahahaha,
AsanteNakuelewaga sema mitandaoni bhn
Nakataaaaaa mamdogo auntie 😁😀😀Mimi sahiz nakuwa kibonge nakuwa kama kiroba 😀😀
🌸Hakuna mwanamke asie mzuri, uzuri ama ubaya upo machoni pa mtu,ila mimi kwangu kila mwanamke hapa jamii forum ni mzuri
😹Hawa masela wenye IDs za kike ndiyo unawaita pisi kali?
😹😹 shida ako unakaa sana jf, huzuruli nje..K2 ni nini jamani😀
Hahhaah kuzurura sijawahi kuweza😂😹😹 shida ako unakaa sana jf, huzuruli nje..
Ni mwandishi uchwara wa umbea.. hajulikani jinsia yake.. sasa nmecheka comment ya Bichwa kumuita mwenzake daddy ( Bichwa nae km K2 tu, jinsia haijulikani..
mpaka sasa kama ni kweli kwa picha nilizotumiwa mbili na Tumble Tumele, Depal ni mzuri