Halafu kumbe nimeandika 'mama yenu' badala 'maua yenu' 😀😀Na ndivyo ilivyo bestie🤔
Napokeaa😍🤸🏽♀️Mlevi kaona vyema, pokeeni maua yenu.
Bwashee za mda lakini?
Napokeaa😍🤸🏽♀️
NylonYupi?
Hahaha,Bwashee haumjui huyo mrembo huyo kwanza ni wa level kubwa mno
Nipo baba niache nitambe💃🏽Upo kwenye list mbona sijakuona?
Mimi ni AI😏
Bwashee bado sijakuona😁😁 kitu najua wewe ni mwanangu wa faida tu😁
Huu ni uzushi upuuzwe 🤣🤣JInsi pisi zangu za kwenye id yangu ya dosho12 zinavyoshangaa 😁 baada ya kuujua ukweli View attachment 3673550
😹harmful hakosagi neno nakuambiaHuu ni uzushi upuuzwe 🤣🤣