Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 16,680
- 31,804
Binafsi huu mwaka nimeona takriban watu 7 nilosoma nao na age mates wame uta majiko..
Mimi ndo hata hilo wazo sina..
Ila nahitaji kuwa a dad to my kids, then why the heck sichukui hatua? Bado sijajiweka in the position kupata mtu sahihi na ninao a fresh tu
Wakuu this is insane mpaka unaogopa kwenda kwenye harusi, because unajua fika kabisa umri umefika!!!
Je, ni sawa tu kuwa in your late 20s na early 30s kuishi kibachela?
Noo guys, I have to start mending my life now...
Utakuja kujua umuhimu wa family ukifika late 50s na umezalisha watu. Kuna wazee nawaona wanaishi maisha magumu kwa sababu ya upweke, wana nongwa na mahasira ya ovyo kwa sababu, alichezea ujana.
Guys, ambao unajihisije age mates wako wamesha vuta majiko na ww unatea tea tu?