Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Wanabodi...

Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend.

Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu.

Je Mungu huyo yupo?

Maana nimefika point sasa najiuliza sana, ya kuwa what if dini ni utapeli wa kihisia na imani kwa kitu ambacho hakipo?

What if miujiza tunavyo ambiwa kuwa ukiomba utapata ni kama dhana ya kutuweka tuendelee kuwa watumwa wa shida unazo zipitia?

Maana mimi nilisoma shule za kikatoliki na tukikuwa tunasali sana rosali kila siku, japo ilikuwa na msaada katika masomo na kutupa imani iliyo thabiti, ila bado watoto walikuwa na tabia mbaya sana,

Nakumbuka enzi hizo kulikuwa na Visungura, zile pombe za pakti. Vijana walikuwa wanavusha na kunywa, watu walikuwa wana ruka ukuta, na ikifika rosali wanasali na kutubu...

Ila pia hata kwenye maisha, watu wanahudhuria makanisani, ila bado wanazini na wake za watu,

Watu wanakesha makanisani ila bado wanafanya dhambi na kwenda tena kuomba Mungu awasamehe, je ndugu zangu dhambi ni kitu kibaya?

Mapadri wenyewe tu pia wanalala na kuzaa na wanawake kisiri

Sijawahi kuona mbwa anahukumiwa kwenda kuimba nyama jikoni, atapigwa na atajifunza kumbe kuchukua nyama ni kosa! sijawahi kuona dhambi ikiwa applied kwa kiumbe kingine ila binadamu tu.

Unakaa unajiuliza ni kwanini binadamu tunawekewa hukumu katika vitu na desire za kimwili ambazo muda mwingine ni haja za kinyama kabisa?

Je dini ni illusion? Na kama ni kweli kwanini binadamu amekuwa mgumu kukubali kuwa hakuna mtu aliye juu mawingu I anayemwangalia kila jambo analolifanya na kuna siku atamuhukumu kwenda kuchomwa moto wa milele?

Ndugu zangu, weekend hii tutaenda makanisani...

Je unakwenda kumwabudu Mungu, aliyeshuhsa mana katika ghalika la waizraeli? Ndiye Mungu aliye sambaratisha bahari ya shamu? Au ni tunakwenda kuabudu Mungu aliye bumbwa kwenye taswira ya binadamu wa kale?

Sijasema Dini ni mbaya, wala sijaikataa Dini ila nataka kujua na kuuliza ni kwanini binadamu hufwata kitu kisicho na maana kwa ajiri ya kupata comfort ya muda mfupi?

Lakini pia wanaoikataa Dini mbona hamna mahala mnaposema kuwa hichi mlicho kikuta kimeanzia, na chimbuko la mwanadamu ni hili? Kwa nini Msiwe delusional tu, ilihali mnapendana na kutakaina mema kwa manufaa ya jamii iliyo bora?

Mimi naamini kila kitu ni energy na hata hawa wanaoamini katika Dini si kwamba hawako sahihi, energy is incomprehensible hasa kwa limits zilizo kwenye mlango ya fahamu, so expression ya hiyo energy lazima iwe abstract, ndo maana kuna vitu kama miujiza, which are manifestaion of energy forms.

Swali ni je, Mungu huyo tunayekwenda kanisani kumwabudu ni yupi? Na mbona unaendelea kwenda ilihali hatumjui? (kwa sisi ambao hatujamwona)
 
Ila pia hata kwenye maisha, watu wanahudhuria makanisani, ila bado wanazini na wake za watu,

Watu wanakesha makanisani ila bado wanafanya dhambi na kwenda tena kuomba Mungu awasamehe, je ndugu zangu dhambi ni kitu kibaya?
Neno la Mungu linaonekana halina nguvu kabisa maana haliwabadirishi watu na tabia zao
 
Dear de gunner, Fvck you
14662.jpg
 
Mambo ya kiimani na kidini ukianza kuyachimba na kuyafuatilia kutaka kuona kitu kikitendeka physically ndo unajikuta unaona hizi dini zinahitilafu sehemu fulani, na hii inapelekea watu wengi siku hizi kuwa watu wasioamini katika dini na masuala ya Mungu, but Kuna mtu alishawahi kusema ni bora kuamini Mungu yupo ukafa ukaenda ukamkuta hayupo kuliko kusema hakuna Mungu lakini at the end ukakuta yupo..

Kwa akili za kawaida za binadamu kuweza kugundua Mungu yupo na anafanyaje Kazi ni zaidi ya uwezo wetu wa kifikra na kiakili katika kung'amua ukweli wote, pengine yupo pengine hayupo ilo linabaki kuwa fumbo gumu kama ambavyo bado hatujui nini hutokea baada ya mtu kufa kama kuna maisha yanaendelea katika other forms au tuna disappear for infinity...

Cha msingi ni kukiishi kile unachoamini kuwa ni sahihi kwako na unaona kina manufaa kwako kwa sisi tunaoamini yupo hata kama hatuna proof hatupaswi kubezwa na vilevile wale wasioamini kuwa yupo nao wasibezwe kwasababu hawajaona proof kuwa yupo, tuishi humo

Kama yupo tutajua at the end, na vile vile kama hayupo tutajua pia
 
Mkuu nawewe sasa umeaanza kukufuru.
Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wasio mkufuru?

Uwepo wa binadamu wanaoweza kumkufuru Mungu ambaye anadaiwa hatakiwi kukufuriwa, Ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, angeumba binadamu wasioweza kumkufuru hata kidogo.

Hakuna Mungu.
 
What does Islam teaching holds that may make religion valid?
A delusion that I was in control...

Inakupa fikira that you are the master of your own destiny, ila ukweli hakuna any sort of truth in that
 
Back
Top Bottom