Mungu wa miujiza mbona sijawahi kumwona? Au kuona miujiza yake?

Mungu mnayedai kwamba ni muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wasio mkufuru?

Uwepo wa binadamu wanaoweza kumkufuru Mungu ambaye anadaiwa hatakiwi kukufuriwa, Ni uthibitisho tosha kwamba Mungu huyo hayupo.

Mungu huyo angekuwepo, angeumba binadamu wasioweza kumkufuru hata kidogo.

Hakuna Mungu.
Mungu yupo mkuu,

Na ndo aliyeumba ulimwengu akafanya maisha yawepo .
 
Mambo ya kiimani na kidini ukianza kuyachimba na kuyafuatilia kutaka kuona kitu kikitendeka physically ndo unajikuta unaona hizi dini zinahitilafu sehemu fulani, na hii inapelekea watu wengi siku hizi kuwa watu wasioamini katika dini na masuala ya Mungu, but Kuna mtu alishawahi kusema ni bora kuamini Mungu yupo ukafa ukaenda ukamkuta hayupo kuliko kusema hakuna Mungu lakini at the end ukakuta yupo..
Aliyeanza kudai Mungu yupo yeye alijuaje na alithibitishaje yupo?

Au ni imani za kujitungia tu?

Maana huwezi kusema kitu kipo wakati huna uthibitisho wa kitu hicho.

Mungu hayupo kwa sababu hakuna uthibitisho wowote wa uwepo wake.

Na wala hakuna aliyeweza kuthibitisha yupo.

Falsafa ya uthibitisho (Burden of proof philosophy) inamtaka anayeanza kudai kitu kipo ndio mwenye mzigo wa kuthibitisha.

Chochote kile kinachodaiwa bila ushahidi wala uthibitisho kinaweza kutupiliwa mbali bila ushahidi wala uthibitisho.
Kwa akili za kawaida za binadamu kuweza kugundua Mungu yupo na anafanyaje Kazi ni zaidi ya uwezo wetu wa kifikra na kiakili katika kung'amua ukweli wote, pengine yupo pengine hayupo ilo linabaki kuwa fumbo gumu kama ambavyo bado hatujui nini hutokea baada ya mtu kufa kama kuna maisha yanaendelea katika other forms au tuna disappear for infinity...

Cha msingi ni kukiishi kile unachoamini kuwa ni sahihi kwako na unaona kina manufaa kwako kwa sisi tunaoamini yupo hata kama hatuna proof hatupaswi kubezwa na vilevile wale wasioamini kuwa yupo nao wasibezwe kwasababu hawajaona proof kuwa yupo, tuishi humo

Kama yupo tutajua at the end, na vile vile kama hayupo tutajua pia
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Sasa utahakikisha vipi na unathibitishaje imani yako ya huyo Mungu ina ukweli?
 
Ndiyo maana nikasema Kila mtu aishi kwa kile anachokiamini believer na non believer Kila mtu aamini anachoona ni sawa kwake kwakuwa mwisho wa siku kama Kuna consequences za either kuwa believer or non believer kila mtu ataubeba msalaba wake kulingana na alichokiishi na kukiamini
 
Wanabodi...

Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend.

Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu.

Je Mungu huyo yupo?

Maana nimefika point sasa najiuliza sana, ya kuwa what if dini ni utapeli wa kihisia na imani kwa kitu ambacho hakipo?

What if miujiza tunavyo ambiwa kuwa ukiomba utapata ni kama dhana ya kutuweka tuendelee kuwa watumwa wa shida unazo zipitia?

Maana mimi nilisoma shule za kikatoliki na tukikuwa tunasali sana rosali kila siku, japo ilikuwa na msaada katika masomo na kutupa imani iliyo thabiti, ila bado watoto walikuwa na tabia mbaya sana,

Nakumbuka enzi hizo kulikuwa na Visungura, zile pombe za pakti. Vijana walikuwa wanavusha na kunywa, watu walikuwa wana ruka ukuta, na ikifika rosali wanasali na kutubu...

Ila pia hata kwenye maisha, watu wanahudhuria makanisani, ila bado wanazini na wake za watu,

Watu wanakesha makanisani ila bado wanafanya dhambi na kwenda tena kuomba Mungu awasamehe, je ndugu zangu dhambi ni kitu kibaya?

Mapadri wenyewe tu pia wanalala na kuzaa na wanawake kisiri

Sijawahi kuona mbwa anahudumiwa kwenda kuimba nyama jikoni, atapigwa na atajifunza kumbe kuchukua nyama ni kosa! sijawahi kuona dhambi ikiwa applied kwa kiumbe kingine ila binadamu tu.

Unakaa unajiuliza ni kwanini binadamu tunawekewa hukumu katika vitu na desire za kimwili ambazo muda mwingine ni haja za kinyama kabisa?

Je dini ni illusion? Na kama ni kweli kwanini binadamu amekuwa mgumu kukubali kuwa hakuna mtu aliye juu mawingu I anayemwangalia kila jambo analolifanya na kuna siku atamuhukumu kwenda kuchomwa moto wa milele?

Ndugu zangu, weekend hii tutaenda makanisani...

Je unakwenda kumwabudu Mungu, aliyeshuhsa mana katika ghalika la waizraeli? Ndiye Mungu aliye sambaratisha bahari ya shamu? Au ni tunakwenda kuabudu Mungu aliye bumbwa kwenye taswira ya binadamu wa kale?

Sijasema Dini ni mbaya, wala sijaikataa Dini ila nataka kujua na kuuliza ni kwanini binadamu hufwata kitu kisicho na maana kwa ajiri ya kupata comfort ya muda mfupi?

Lakini pia wanaoikataa Dini mbona hamna mahala mnaposema kuwa hichi mlicho kikuta kimeanzia, na chimbuko la mwanadamu ni hili? Kwa nini Msiwe delusional tu, ilihali mnapendana na kutaka a mema kwa manufaa ya jamii iliyo bora?

Mimi naamini kila kitu ni energy na hata hawa wanaoa mini katika Dini si kwamba hawako sahihi, energy is incomprehensible hasa kwa limits zilizo kwenye mlango ya fahamu, so expression ya hiyo energy lazima iwe abstract, ndo maana kuna vitu kama miujiza, which are manifestaion of energy forms.

Swali ni je, Mungu huyo tunayekwenda kanisani kumwabudu ni yupi? Na mbona unaendelea kwenda ilihali hatumjui? (kwa sisi ambao hatujamwona)
Unaona ambavyo muwa unakua na maji matamu (sukari) ndani yak, Ni tofauti na Bamboo ambayo haina sukari na yote ni ya jamii moja.... Ndio huyo "mungu" ambaye hujawahi kumuona kafanya....

kumbuka udongo hauna sukari
 
Karibu katika dini ya Uislam. Dini ambayo umeumbiwa nayo kabla ya wazazi wako kukubatiza na kukufanya uwe mkristo
 
Ndiyo maana nikasema Kila mtu aishi kwa kile anachokiamini believer na non believer Kila mtu aamini anachoona ni sawa kwake kwakuwa mwisho wa siku kama Kuna consequences za either kuwa believer or non believer kila mtu ataubeba msalaba wake kulingana na alichokiishi na kukiamini
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Sasa tutahakikisha vipi kwamba hicho unacho kiamini ni ukweli na si uongo?

Unathibitishaje kwamba imani ya Mungu ni ukweli na si uongo?

Kwa sababu, kuamini unaweza kuamini hata uongo.
 
Mambo ya kiimani na kidini ukianza kuyachimba na kuyafuatilia kutaka kuona kitu kikitendeka physically ndo unajikuta unaona hizi dini zinahitilafu sehemu fulani, na hii inapelekea watu wengi siku hizi kuwa watu wasioamini katika dini na masuala ya Mungu, but Kuna mtu alishawahi kusema ni bora kuamini Mungu yupo ukafa ukaenda ukamkuta hayupo kuliko kusema hakuna Mungu lakini at the end ukakuta yupo..

Kwa akili za kawaida za binadamu kuweza kugundua Mungu yupo na anafanyaje Kazi ni zaidi ya uwezo wetu wa kifikra na kiakili katika kung'amua ukweli wote, pengine yupo pengine hayupo ilo linabaki kuwa fumbo gumu kama ambavyo bado hatujui nini hutokea baada ya mtu kufa kama kuna maisha yanaendelea katika other forms au tuna disappear for infinity...

Cha msingi ni kukiishi kile unachoamini kuwa ni sahihi kwako na unaona kina manufaa kwako kwa sisi tunaoamini yupo hata kama hatuna proof hatupaswi kubezwa na vilevile wale wasioamini kuwa yupo nao wasibezwe kwasababu hawajaona proof kuwa yupo, tuishi humo

Kama yupo tutajua at the end, na vile vile kama hayupo tutajua pia
Je, katika maelezo haya, what if hiki tunacho kisema is just an interpretation of a disire to know something that never exists?

Ya kwamba kile macho na ubongo inaweza ku comprehend ndo tutakavovijua tu, hizi labels ni namna ya kusaka closure tu.

Ila pia, unadhani existence haina maana?

Kama ni kweli kuna sayari na wamegundua saiz huenda kuna multiverse...

What if God ni sis wenyewe na ukifa tunarudi tulikotoka yaani energy inajigeuza na kuanza mchakato mpya tena?

Ila ni sawa pia kuwa dini inasaidia in one way or another
 
Unaona ambavyo muwa unakua na maji matamu (sukari) ndani yak, Ni tofauti na Bamboo ambayo haina sukari na yote ni ya jamii moja.... Ndio huyo "mungu" ambaye hujawahi kumuona kafanya....

kumbuka udongo hauna sukari
Kwa hiyo sukari ya kwenye matunda ndiye Mungu?

Kwa nini binadamu tunakuwa wepesi kuamini vitu tu sivyo na ujuzi wowote navyo?
 
Yupo wapi?

Thibitisha Mungu yupo, yeye kama yeye, bila kumhusisha na chochote.

Kwanza thibitisha Mungu yupo, kabla ya kusema yeye ndiye kaumba ulimwengu na kufanya maisha yawepo.

Mungu yuko nje ya mfumo wa Muda

Big Bang ndiyo iliyotengeneza Muda na space

Yule aliyesababisha Big Bang llazima alikuwepo kabla ya muda kuanza.

Na huyo ndo Mungu- alikuepo na ataendelea kuepo
 
Mtoa post nataka nijibu swali lako

1. Kwa nini Hatuwezi Kumwona Mwenyezi Mungu Katika Dunia Hii?

Katika maisha haya ya dunia, binadamu hana uwezo wa kimaumbile (kifiziolojia na kiroho) wa kustahimili kumuona Mwenyezi Mungu kwa macho ya nyama. Macho yetu yana ukomo mkubwa sana.
Kutoka kwenye Qur'ani:

Mwenyezi Mungu anasema wazi kuwa macho ya viumbe hayawezi kumfikia au kumzunguka kwa kumuona hapa duniani:

"Macho hayamfikilii (hayamwoni), bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mpole, Mwenye khabari." — (Surat Al-An'am, 6:103)

Hata Mtume Musa (Alayhi Salam) alipoomba amwone Mwenyezi Mungu, milima ilisambaratika kwa sababu haikuweza kustahimili utukufu wa Mungu:

"Na Musa alipokuja kwenye miadi Yetu, na Mola wake Mlezi akasema naye, (Musa) alisema: 'Mola wangu Mlezi! nionyeshe nikutazame.' (Mwenyezi Mungu) akasema: 'Hutaniona. Lakini utazame huo mlima; ukikaa pahala pake basi ndiyo utaniona.' Basi Mola wake Mlezi alipojidhihirisha kwenye mlima, aliufanya usawazike na ardhi, na Musa akaanguka chini amepoteza fahamu..." — (Surat Al-A'raf, 7:143)

Kutoka kwenye Hadithi:

Mtume Muhammad (S.A.W) aliulizwa kama amewahi kumwona Mwenyezi Mungu, naye akajibu:

"Ni Nur (Nuru), nitamwonaje?" — (Sahih Muslim)

(Hii ina maana kwamba pazia la Mwenyezi Mungu ni nuru kuu ambayo kiumbe hawezi kuitazama akaendelea kubaki salama).
 
.

Yupo wapi?

Thibitisha Mungu yupo, yeye kama yeye, bila kumhusisha na chochote.
Ni ngumu kuthibitisha uwepo wa mungu bila kumuhusisha na chochote.

Ni sawa uniambie nijitetee kizimbani bila ushahidi
 
Unaona ambavyo muwa unakua na maji matamu (sukari) ndani yak, Ni tofauti na Bamboo ambayo haina sukari na yote ni ya jamii moja.... Ndio huyo "mungu" ambaye hujawahi kumuona kafanya....

kumbuka udongo hauna sukari
Hapa umefanya logical fallacy inaitwa Divine fallacy.

The divine fallacy is a logical error that happens when a person assumes that something must be caused by God or a supernatural force just because they do not know how else to explain it.

Kwa vile hujui kwa nini muwa una maji matamu na bamboo hauna maji matamu, una conclude kwamba ni kwa sababu ya Mungu.

Hii conclusion yako ni batili.
 
Wanabodi...

Poleni na majukumu ya week nzima, as we are welcoming another beautiful weekend.

Naomba tuongelee hili swala kidogo, tumeaminishwa kuhusu uwepo wa Mungu na miujiza yake ya kuponya viwete, kutenganisha bahari na hata kurudisha uhai kwa wafu.

Je Mungu huyo yupo?

Maana nimefika point sasa najiuliza sana, ya kuwa what if dini ni utapeli wa kihisia na imani kwa kitu ambacho hakipo?

What if miujiza tunavyo ambiwa kuwa ukiomba utapata ni kama dhana ya kutuweka tuendelee kuwa watumwa wa shida unazo zipitia?

Maana mimi nilisoma shule za kikatoliki na tukikuwa tunasali sana rosali kila siku, japo ilikuwa na msaada katika masomo na kutupa imani iliyo thabiti, ila bado watoto walikuwa na tabia mbaya sana,

Nakumbuka enzi hizo kulikuwa na Visungura, zile pombe za pakti. Vijana walikuwa wanavusha na kunywa, watu walikuwa wana ruka ukuta, na ikifika rosali wanasali na kutubu...

Ila pia hata kwenye maisha, watu wanahudhuria makanisani, ila bado wanazini na wake za watu,

Watu wanakesha makanisani ila bado wanafanya dhambi na kwenda tena kuomba Mungu awasamehe, je ndugu zangu dhambi ni kitu kibaya?

Mapadri wenyewe tu pia wanalala na kuzaa na wanawake kisiri

Sijawahi kuona mbwa anahudumiwa kwenda kuimba nyama jikoni, atapigwa na atajifunza kumbe kuchukua nyama ni kosa! sijawahi kuona dhambi ikiwa applied kwa kiumbe kingine ila binadamu tu.

Unakaa unajiuliza ni kwanini binadamu tunawekewa hukumu katika vitu na desire za kimwili ambazo muda mwingine ni haja za kinyama kabisa?

Je dini ni illusion? Na kama ni kweli kwanini binadamu amekuwa mgumu kukubali kuwa hakuna mtu aliye juu mawingu I anayemwangalia kila jambo analolifanya na kuna siku atamuhukumu kwenda kuchomwa moto wa milele?

Ndugu zangu, weekend hii tutaenda makanisani...

Je unakwenda kumwabudu Mungu, aliyeshuhsa mana katika ghalika la waizraeli? Ndiye Mungu aliye sambaratisha bahari ya shamu? Au ni tunakwenda kuabudu Mungu aliye bumbwa kwenye taswira ya binadamu wa kale?

Sijasema Dini ni mbaya, wala sijaikataa Dini ila nataka kujua na kuuliza ni kwanini binadamu hufwata kitu kisicho na maana kwa ajiri ya kupata comfort ya muda mfupi?

Lakini pia wanaoikataa Dini mbona hamna mahala mnaposema kuwa hichi mlicho kikuta kimeanzia, na chimbuko la mwanadamu ni hili? Kwa nini Msiwe delusional tu, ilihali mnapendana na kutaka a mema kwa manufaa ya jamii iliyo bora?

Mimi naamini kila kitu ni energy na hata hawa wanaoa mini katika Dini si kwamba hawako sahihi, energy is incomprehensible hasa kwa limits zilizo kwenye mlango ya fahamu, so expression ya hiyo energy lazima iwe abstract, ndo maana kuna vitu kama miujiza, which are manifestaion of energy forms.

Swali ni je, Mungu huyo tunayekwenda kanisani kumwabudu ni yupi? Na mbona unaendelea kwenda ilihali hatumjui? (kwa sisi ambao hatujamwona)
Ulishawahi ona sema unajitoa ufahamu tu
 
Swali lako la pili umeuliza kuwa

2. Je, Miujiza ya Mwenyezi Mungu Iko Wapi?
Jibu:

Uislamu unafundisha kuwa kila kitu kinachotuzunguka ni muujiza, lakini tumekizoea kiasi cha kutokiona kama muujiza. Qur'ani inatutaka tusitafute miujiza ya kufikirika tu, bali tutazame ulimwengu jinsi ulivyofanywa kwa ustadi mkubwa.
Kutoka kwenye Qur'ani (Miujiza ya Kimaumbile):
Mwenyezi Mungu anataja mzunguko wa usiku na mchana, kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na mvua kama miujiza mikubwa:

"Hakika katika kuumbwa mbingu na ardhi, na kupishana usiku na mchana, na merikebu ambazo zinapita baharini kwa vyenye kuwafaa watu, na maji aliyoshusha Mwenyezi Mungu kutoka mbinguni, na kwa hayo akaihuisha ardhi baada ya kufa kwake... bila shaka zimo ishara (miujiza) kwa watu wenye akili." — (Surat Al-Baqarah, 2:164)

Pia, miili yetu sisi wenyewe ni muujiza:

"Na katika ardhi zimo ishara kwa wenye yakini. Na katika nafsi zenu (pia mna ishara). Je! Hamwoni?" — (Surat Az-Zariyat, 51:20-21)

Muujiza Mkuu Unaobaki Milele (Qur'ani yenyewe):

Mitume wa zamani (kama Musa na Isa) walipewa miujiza ya kuonekana kwa macho ambayo ilipita na muda wao. Lakini Mtume Muhammad (S.A.W) alipewa muujiza wa kielimu na kiakili ambao upo hadi leo—nayo ni Qur'ani. Hakuna binadamu aliyeweza kuandika kitabu kama hiki au kupinga ukweli wake wa kisayansi na kihistoria.
"Sema: Ungekusanyika ulimwengu wote wa watu na majini ili walete mfano wa hii Qur'ani, hawangeweza kuleta mfano wake, hata kama wangesaidiana wao kwa wao." — (Surat Al-Isra, 17:88)
 
Fafanua muda na space
Kabla ya Big Bang, dhana ya sekunde, dakika au jana na kesho hikuwapo kwa sababu hakukuwa na nafasi (space) wala maada (matter) zinazosogea ili kuwezesha muda kuhesabika
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Back
Top Bottom