Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche, akiwataka wanaotoa madai hayo waende mahakamani ikiwa kweli wanataka kumuunga mkono.

Akizungumza kwa msisitizo, Lissu alisema yuko tayari kulipa gharama yoyote kwa ajili ya kupigania haki, huku akiwakosoa wanaodai kuzungumzia suala lake bila kufika mahakamani.

 
Lissu: hao wanaosema Heche ananizuia mimi kutoka gerezani ni akina nani nasikia!?

Wanachama: ma CCM

Lissu; waambieni hivi, mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapo patikana 📌

Huo ujingaujinga huo wa hao wapokea pesa za Lumumba na Ukome. Tunapigania haki na kwasababu tunapigania haki, nipo tayari kulipa gharama yoyote. Waache ujinga.

Sijawahi kuwaona mahakamani hata siku moja hao wanaonisemea. Kama wanataka kuniunga mkono waje Mahakamani.

Hakuna kutembelea Gerezani usiku hapa

MY TAKE
CCM tambueni siasa za ubabaishaji, unafiki na Ulaghai zilishaisha na kupitwa na wakati. Heche na Lissu na Wanamabidiliko wa kweli.
 
Nadhani sasa TL kafunga ule mjadala wa kijinga kue heche ndio tatizo.

Baada ya hapo,itakua ni uendawazimu kuwajadili tena wake wapumbavu
Safi sana. Aisee Tundu Lissu ni Mandela wa Tanzania. Tundu Lissu sio mchungaji, sio padri wala shehe lakini anahubiri haki, kukataa rushwa kwa vitendo. Viongozi wengi wa dini nao niwapiga dili tu harafu wanatumia madhabahu kulaghai watu.
 
Lissu: hao wanaosema Heche ananizuia mimi kutoka gerezani ni akina nani nasikia!?

Wanachama: ma CCM

Lissu; waambieni hivi, mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapo patikana 📌

Huo ujingaujinga huo wa hao wapokea pesa za Lumumba na Ukome. Tunapigania haki na kwasababu tunapigania haki, nipo tayari kulipa gharama yoyote. Waache ujinga.

Sijawahi kuwaona mahakamani hata siku moja hao wanaonisemea. Kama wanataka kuniunga mkono waje Mahakamani.

Hakuna kutembelea Gerezani usiku hapa
View attachment 3661991
Tundu Lissu, the freedom Fighter
 
🔥🔥🔥📌📌📌

IMG-20260827-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom