Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Atakutwa na hatia kwa maagizo ya serekali, ila sio kwa ushahidi wa jamuhuri uliopo mahakamani.Endapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee
Atakutwa na hatia kwa maagizo ya serekali, ila sio kwa ushahidi wa jamuhuri uliopo mahakamani.Endapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche, akiwataka wanaotoa madai hayo waende mahakamani ikiwa kweli wanataka kumuunga mkono.
Akizungumza kwa msisitizo, Lissu alisema yuko tayari kulipa gharama yoyote kwa ajili ya kupigania haki, huku akiwakosoa wanaodai kuzungumzia suala lake bila kufika mahakamani.
Ila na wewe si hupo au?Tunataka watu majasiri kama hawa wanaoweza kusimamia ukweli hata kama itabidi kufa kwa ajili ya kusimamia ukweli. Watu wa aina hii ni wachache sana duniani
Kwa misimamo Lisu nimemvulia kofia.
Dah!,kazi kweli unajivunia umaskini.Kaacha Watoto wake Marekani na mke Wake
Kaja Tanzania kama 1
Lengo kuu katmiza kuwatumia Watoto wa Masikini kwenye kuzuiya Uchaguzi nk😭😭
Jizi na lipenda rushwa liko busy linachangia bila aibu. Argument zake kama za mtoto wa darasa la saba.Sawa mkate yake chai
Wale Mashekh wa uhamsho nawao walikuwa na msimamo kama mh Lissu
Lkn mwisho wakajuq kuishinda Jamhuri ni ngumu ikitaka kupambana naww!!!!
Wakamakaa ndani miaka 8 wamekuta baadhi ya Wake zao Wameongeza Watoto
Mh Lissu yupo tayali kweli 👈
sio iwe kama ile Nitafanya mgomo wa kula lkn hatangazi mgomo rasmi lini ❗️🤠
Kitambi na mgomo 😂
kinakugomea na chenyewe 👈
Kaja kuibukia kwake kufuga nywele tu✍️
Dah!,kazi kweli unajivunia umaskini.
Kufa ni sehemu ya maisha ya binadamu,hakuna atakae Bali.Endapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee
Mzizi wa fitina umekatwa leo...Lissu: hao wanaosema Heche ananizuia mimi kutoka gerezani ni akina nani nasikia!?
Wanachama: ma CCM
Lissu; waambieni hivi, mimi nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapo patikana 📌
Huo ujingaujinga huo wa hao wapokea pesa za Lumumba na Ukome. Tunapigania haki na kwasababu tunapigania haki, nipo tayari kulipa gharama yoyote. Waache ujinga.
Sijawahi kuwaona mahakamani hata siku moja hao wanaonisemea. Kama wanataka kuniunga mkono waje Mahakamani.
Hakuna kutembelea Gerezani usiku hapa
View attachment 3661991
MY TAKE
CCM tambueni siasa za ubabaishaji, unafiki na Ulaghai zilishaisha na kupitwa na wakati. Heche na Lissu na Wanamabidiliko wa kweli.
Kufa ni faida...Endapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee