Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

Lissu: Nipo tayari kukaa gerezani mpaka haki itakapopatikana

Endapo atakutwa na hatia adhabu yake ni " kunyongwa hadi kufa" aisee

Haka kafisadi mnakanyonga lini chawa?

Au buku 7 ikishaingia tu na matumizi ya akili yanakoma.

download (2).jpeg
download.png
 
Sawa mkate yake chai

Wale Mashekh wa uhamsho nawao walikuwa na msimamo kama mh Lissu

Lkn mwisho wakajuq kuishinda Jamhuri ni ngumu ikitaka kupambana naww!!!!

Wakamakaa ndani miaka 8 wamekuta baadhi ya Wake zao Wameongeza Watoto

Mh Lissu yupo tayali kweli 👈

sio iwe kama ile Nitafanya mgomo wa kula lkn hatangazi mgomo rasmi lini ❗️🤠

Kitambi na mgomo 😂
kinakugomea na chenyewe 👈

Kaja kuibukia kwake kufuga nywele tu✍️
Lissu si Uamsho na Uamsho si Lissu, your wishful thoughts aren't clicking with Lissu's goals, determinations, realistic plans and actionable targets.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema yuko tayari kukaa gerezani hadi haki itakapopatikana, akizungumza mahakamani Septemba 2, 2026, katika mwendelezo wa kesi yake ya Uhaini. Lissu alikanusha kauli zinazodai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, anazuiwa kutoka gerezani na Heche, akiwataka wanaotoa madai hayo waende mahakamani ikiwa kweli wanataka kumuunga mkono.

Akizungumza kwa msisitizo, Lissu alisema yuko tayari kulipa gharama yoyote kwa ajili ya kupigania haki, huku akiwakosoa wanaodai kuzungumzia suala lake bila kufika mahakamani.

Huyo ni mwamba kweli kweli
 
Mazafakas na waisikie hiyo straight from the horse’s mouth!
 
Back
Top Bottom