heche

Heche is a small village located in the Sorab panchayat town of Sagara, taluka in Shimoga district in the Indian state of Karnataka. It is close to Chandragutti, which has an ancient fort and temple. Heche has a few ancient temples, including the Kalikamba Temple, Eshwara (Pachalingeshwara) and Anjaneya temple.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wassira akimpongeza LEMA, amedhihirisha namna gani Lissu na Heche wamewakaba Koo CCM, na namna gan LEMA ni Dalali lao la CCM !!

    Huwezi sifiwa na CCM kama hawana Masilahi nawewe. Huwezi kutaka huruma za CCM badala ya Utawala Bora wa Sheria , Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji . LEMA Tumekupuuza !!.
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  3. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Lema Vs Heche: Mtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala?

    Mtanange unaendelea, Nani ataacha Ndala? Je Lema atapoteza ushawishi wake ndani ya Kamati kuu? Ni Hapana anaungwa mkono ma wengi kuliko heche Je Yule anaeuza habari kwa Yule Dada? Je yule Dada anachezewa akili na Vijana wa bawa? Haha, Chadema wasipotegua huu mtego Rasmi inaenda kwa Cuf...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Heche mkutanoni Nzega: Haya tunayoyadai wengine kina Kabila wanaingia misituni kuyatafuta. Sisi tunayadai kwa amani mnatuua!

    John Heche, Tabora Haya tunayodai wengine kina Kabila wanayatafutia wakiwa misituni. Sisi ni chama cha amani lakini bado mnatuwinda, mnatuua! ################# Maoni yangu SERIKALI NA WATANGANYIKA Mmewahi kujiuliza, hivi huko Congo, Sudan, Somali, nk nk nk Silaha zilifika fikaje kwenye...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere kuhusu vijana tunaopata elimu kusaidia jamii zetu masikini, kuzisemea. Tusipofanya hivyo sisi ni wasaliti

    Heche anatukumbusha wosia wa Nyerere na wajibu wa vijana wanaopata elimu bure. Those who receive this privilege have a duty to repay the sacrifice which others have made. They are like the man who was given all the food in a starving village in order to have strength to bring back supplies from...
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Pharis na UVCCM wanapanga kufanya njama dhidi ya Heche.

    Pharis tumemsikia anasema Heche ni mwizi. Heche hafai kuwa keep ongozi wa nchi hii. Nani amemwambia Pharis Heche amekaribia kuwa kiongozi wa nchi hii? Heche sasa hivi anasota waya. Heche anawayawaya wakati tunasubiri hukumu ya Mahakama Nov 6. Heche wanasema alikuwa house boy wa Mbowe. Hata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Naomba nikumbushwe kama kuna mwanaCCM yeyote aliyejitokeza na kupinga hoja za Heche na Chadema kwa ujumla

    Hivi ni kwa nini CCM wasijibu hoja za CHADEMA? Wanachoogopa ni nini? 1.Heche ametoa madai mazito sana kuhusu mikataba ya rare earth elements. CCM kimya 2.Heche ametoa madai ya kuua viwanda na badala yake fedha yetu kupelekwa nje. CCM kimya. 3. Heche ametoa madai ya kuwa Bi hakuchaguliwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania "Muuaji aliyépenda cheo: Tutashughulika na Heche faili lake tunalo awe mpole

    Huyu ndiye mtu CCM imemuona ni shujaa wa KUUA na hivyo kustahili kupanda cheo kwa utumishi bora wa kupoteza watu na polisi wasiwatafute
  9. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

    Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

    Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena? Na kama ulifanyika, Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Chadema inatakiwa kujenga sera na imani zake na kuziandika na kuzifundisha. Mkiendelea kuamini watu Ata Heche anaweza kubadilika.

    Kupitia Mbowe Chadema tunapaswa kujifunza tu. Watu hawapaswi kabisa kumwamini mtu tena. Inapaswa kuandika "BIBLIA YAKE" kuwa na viapo vyake, Na Katekisimu zake za kufuata Sio kutembea na upepo na kauli za viongozi. Sasa naijua siasa vizuri. Ndio maana nafsi ya Kwanza inabaki hapa ya pili...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  13. W

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Hai wajipanga kususia mkutano wa Heche, wataka amuombe radhi kwanza Mbowe

    Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, wameeleza msimamo wa kutoshiriki mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, John Heche, unaotarajiwa kufanyika jimboni humo, wakitaka kwanza atoe ufafanuzi na kuomba radhi kwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania John Heche ametangaza wazi kuwa yuko tayari kwa lolote hata kifo na hatokimbia nchi ,atabaki kupigania demokrasia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi. Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche aendelea kumkomalia Gerson Msigwa ubovu wa barabara

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amemjibu Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu hali ya miundombinu ya barabara nchini, akisema bado kuna changamoto ya ubovu wa barabara katika maeneo mbalimbali. Hoja hiyo imekuja baada ya Heche...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda CHADEMA ingekua na wabunge zaidi ya 100 wa majimbo kwa sasa, ikiwa Freeman A. Mbowe angeendelea kuwa mwenyekiti wake

    Lakini baada ya wavurugaji, vibwengo na micharuko wa kisiasa kuikamata, wameiharibu kabisa chadema na kuifanya ikose kabisa hata sifa tu za kisheria za kushiriki uchaguzi wowote ule humu nchini. Unadhani chadema walijichanganya wapi hata ikaangukia mikononi mwa vibaka wa kisiasa? Ni somo gani...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

    John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho? Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: CCM makapuku hamna tofauti na House Negro as opposed to Field Negro enzi za utumwa huko Marekani

    Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai. Msikilize Heche
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania HECHE anangojea hukumu kwa kukosea, anaingilia hukumu.

    Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe. Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi...
Back
Top Bottom