HECHE anangojea hukumu kwa kukosea, anaingilia hukumu.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.

Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema

View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT
 
Samuya mwenyewe anayedaiwa kutaka kupinduliwa urais aligoma kwenda mahakamani kutoa ushahidi wa namna alivyotaka kupinduliwa!
 
Kwani Heche tu? Kila mtu anajua kitachojiri maana hii kesi ilitakiwa kufutwa mapema, kesi yenye maneno matupu bila ya ushahidi
Tusubiri hukumu ili tuandae rufaa in case.. mengine yote ni mwana kulitafuta..
 
Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.

Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema

View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT

Ushalipwa?
 
Kwa Wale vibaraka na machawa yule Popo na wenzie walio sema wanataka tundu lisu anyongwe haikua nogwa
 
Kwani Heche tu? Kila mtu anajua kitachojiri maana hii kesi ilitakiwa kufutwa mapema, kesi yenye maneno matupu bila ya ushahidi
Shida ya Heche na wengine ni kudhani wale wote wanaosogea kwenye mikutano yao ni watu wao wanaowatii wao watakachowaambia na kuwaamuru. Kuwaza hivi ni kosa la kisigino.
 
Hii Nchi tulipofika tunaoneana sana Bora hata kuchinjana tu Ili Kila mtu amuheshimu mwenzie.
 
Kwa Wale vibaraka na machawa yule Popo na wenzie walio sema wanataka tundu lisu anyongwe haikua nogwa
Mahakama iko huru kuamua kwa haki, hailazimishwi lakini haitishwi wala kutishiwa kutoka upande wowote.
 
Hii Nchi tulipofika tunaoneana sana Bora hata kuchinjana tu Ili Kila mtu amuheshimu mwenzie.
Astakafir!!! Kwahiyo hii nchi tunaoneana sana kuli Congo, Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, Sudani, Ethiopia, Zimbabwe, Somalia na Nigeria?

ELeza unaonewa nini, umebakwa?umenyanganywa mpenzi, mbuzi, shamba, nyumba au nini?

Kuwa mpinzani hakumaanishi wewe huna wajibu wa kutimiza kwa serikali, Rais, Sheria, Katiba na haki za wengine.
 
Mahakama iko huru kuamua kwa haki, hailazimishwi lakini haitishwi wala kutishiwa kutoka upande wowote.
Sasa kama Imani yako ni kuwa mahakama haitishwi wala kutishiwa vipi unakuja na hoja kuwa Heche anataka kuilazimisha mahakama?
 
Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.

Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema

View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT

Acha upendeleo, wakati yule Kombo anamwambia Lissu akampigie magoti Samiah ili asinyongwe ulimsupport na yule sheikh Mwaipopo aliyetoa wito kwa watu wafunge na kuomba pia ulimsupport.
 
Hata baada ya kesi kufikia hapo ilipofikia kusubiri hukumu bado Heche anawaandaa wafuasi wake waigomee hukumu kama haitakuwa kama anavyotaka yeye iwe.

Nadhani anakoelekea hakuna mwanga na hewa ya kutosha kiafya. Anaibagaza mahakama ionekane haitendi haki na haikutenda haki. Anachochea wananchi wafanye fujo kama mambo hayatakuwa mazuri kwa chadema

View: https://youtu.be/zgwnqp4zhtU?si=JJK6PepZQKwsPBzT

Off course wananchi tayari wana hukumu yao. Ingekuwa ni JURY system .... tayari Lissu anageshatoka.

Heche ahamasishe tu wafuasi wake kwa wingi waende kumpokea Lissu tarehe 6 Nov ili akitoka awhahutubie.
 
Sasa kama Imani yako ni kuwa mahakama haitishwi wala kutishiwa vipi unakuja na hoja kuwa Heche anataka kuilazimisha mahakama?
Heche anachofanya na wenzake ni kuitishia serikali na mahakama kwa kuwaandaa wafuasi wake kuikataa hukumu ya mahakama kama itamtia Lissu hatiani. Anawaambia kuwa watamlinda Lissu kama mboni ya jicho. Kila mtu anasubiri kuona watamlindaje Lissu kama mboni za macho yao. Hapo ndipo swala la kuitishia serikali, na mahakama isiamue kwa haki linapokuja.

Bila shaka serikali na mahakama wakimsiliza Heche kwenye mikusanyiko yake anayoitisha na kuhutubia watakuwa wanajiuliza maswali kama:

1. Watafanya nini kama....
2. Hawatafanya nini kama ...
3. Tutawazuiaje kama....

Siwasemei, lakini nadhani miongoni mwa majibu ya maswali yao yanaweza kuwa ni pamoja na:
1. Mahakama kutoa hukumu ya haki kutokana na kosa na ushahidi
2. Kuongeza ulinzi: askari wa kutosha, zana za kutosha na technolojia ya kutosha kuthibiti vurugu.
3. Elimu ya kutosha kwa wananchi kuhusu utawala wa sheria.
4. Sheria: Kamata kamata ya wakora wasiotii sheria na kuwafungulia mashitaka mapya.
 
Off course wananchi tayari wana hukumu yao. Ingekuwa ni JURY system .... tayari Lissu anageshatoka.

Heche ahamasishe tu wafuasi wake kwa wingi waende kumpokea Lissu tarehe 6 Nov ili akitoka awhahutubie.
Chunguza, hakuna sinema iliyowahi kumalizika kwa wahalifu na uhalifu kushinda.

Kama Lissu na chadema wanaonewa lazima mwishio wa sinema wale wanaowaonea watashindwa., na kama kuchoma mali ya umma, mali za watu binafsi na kukata watu vidole ni uhalifu lazima waliotenda vitendo hivyo watashindwa tu huko mwisho wa sinema.
 
Sasa waksti wansmkamata mwezi wa 4 walijua kuwa kuna mali za umma na watu binafsi zitachomwa moto? Mbona hawakuzuia kama walijua. By the way Lissu na Chadema ndiyo wahusika, mmeamua kumbebesha msalaba eote Lissu siyo.

Anyway, na waliofwatua risasa na walioamulu watu wauawe wako wapi? So ni Lissu na Chadema?
 
Wewe ndiye unaona hawakuzuia vurugu, lakini ukweli ni kwamba kama vurugu zile zisingezuiwa hali ingekuwa mbaya kuliko vile. Kumbuka malengo makuu ya vurugu zile yalikuwa mawili; kuzuia/kuvuruga uchaguzi, na kuleta mabadiliko ya haraka. Maana yake kama vurugu zisingezuiwa basi uchaguzi ungezuiwa/ungevurugwa na mabadiloko ya serikali yangetokea, lakini yote hayo hayajatokea.

Sasa jiulize serikali ilwezaje kuzuia uchaguzi usivurugwe na mabadiliko kutokea?
1. Kwa kumkamata Lissu (steringi)
2. Kwa kumkamata Heche (twice)
3. Kutumia nguvu kubwa kukabiliana na watu wengi waliotawanyika sehemu nyingi kwa wakati mmoja wanaofanya vurugu.
4. Kupata msaada wa wadau wengine kuliongezea jeshi la polisi nguvu, ujanja na technolojia ya kuhangaika na wakora wanaofanana na mungiki, M23, Boko haram, Al-shabab na magaidi.
 
Malizia walizuia kwa kuua watu zaidi ya elfu 10.
 
Hata kama wangekufa 200,000 nisingesjangaa kwakuwa malengo waliyopewa kuyatimiza yalikuwa makubwa mno kwao. Kwanza kuuzuia uchaguzi nchi nzima, pili kuleta mabadiliko ya serikali. Kwa malengo haya hata 10,000,000 unaosema wewe walikuwa wachache sana mno mno mno. Ilikuwa ni kazi ya kufa na kupona hadi malengo yafikiwe.

Kama malengo yasingekuwa makubwa hivyo watu wasingekufa wengi vile. Wafanya vurugu wangetawanyika na kukimbia hata baada ya kifo cha mtu wao mmoja tu. Lakini hata baada ya kufa watu 100 wao waliendelea kupambana na kusonga mbele hadi kufikia malengo waliyopewa na Lissu na wenzake.

Kuna wakati Gwajima alisema watawaua wachache lakini wengi watafika na kuingia Ikulu. Bahati mbaya haikuwa hivyo; walikufa na hakuna aliyeingia Ikulu. Hasira yao iko hapo.
 
Wewe ndiye unaona hawakuzuia vurugu, lakini ukweli ni kwamba kama vurugu zile zisingezuiwa hali ingekuwa mbaya kuliko vile. Kumbuka malengo makuu ya vurugu zile yalikuwa mawili; kuzuia/kuvuruga uchaguzi, na kuleta mabadiliko ya haraka. Maana yake kama vurugu zisingezuiwa basi uchaguzi ungezuiwa/ungevurugwa na mabadiloko ya serikali yangetokea, lakini yote hayo hayajatokea.

Sasa jiulize serikali ilwezaje kuzuia uchaguzi usivurugwe na mabadiliko kutokea?
1. Kwa kumkamata Lissu (steringi)
2. Kwa kumkamata Heche (twice)
3. Kutumia nguvu kubwa kukabiliana na watu wengi waliotawanyika sehemu nyingi kwa wakati mmoja wanaofanya vurugu.
4. Kupata msaada wa wadau wengine kuliongezea jeshi la polisi nguvu, ujanja na technolojia ya kuhangaika na wakora wanaofanana na mungiki, M23, Boko haram, Al-shabab na magaidi.

Usiseme kwa kutumia nguvu kubwa. Sema kwa kuwashoot na kuwaua .... hatukuona mahali police wakizuia vurugu kwa njia za kawaida na kuonekana wamezidiwa nguvu na raia. Hatukuona mahali police ikikamata hao waandamanaji .... au ndiyo walikuwa wanazuia nyunyunyu na nywi nywi nywi kwa kutumia vitu venye ncha kali .... kwa shoot watu mgongoni wakati wanakimbia kama yule mama wa Arusha.... Acheni kutetea na kuhalalisha UUAJI uliofanyika kwa kusukumia lawama kwa akina LISSU na Heche. Video zipo watu wanaandamana na kuimba mbele ya magari ya jeshi bila vurugu zozote.
 
Back
Top Bottom