kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #41
Nisichotaka mimi ni kushikiwa akili yangu na mtu mwingine, kubishana kwa taarifa za kuambiwa/hisia na kufuata mkumbo.Kwahiyo wewe unajiona mjanja na mwerevu sana kuliko Rostam Aziz?
Ama upo kibaruani mkono uende kinywani?
Don’t insult our intelligence.
Nina uhakika ile No reforms no election ni chadema walishindwa kumdhibiti Lissu (uncontrollable/unstoppable). Mimi kama mimi siwezi kuwa sehemu ya utekelezaji wa wazo ambalo sijashiriki kulichakata na kuzifahamu SWOT zake.
Chadema haina maisha chini ya Lissu na Heche.