"Muuaji aliyépenda cheo: Tutashughulika na Heche faili lake tunalo awe mpole

"Muuaji aliyépenda cheo: Tutashughulika na Heche faili lake tunalo awe mpole

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Huyu ndiye mtu CCM imemuona ni shujaa wa KUUA na hivyo kustahili kupanda cheo kwa utumishi bora wa kupoteza watu na polisi wasiwatafute
 

Attachments

  • IMG-20261020-WA0004.jpg
    IMG-20261020-WA0004.jpg
    85.7 KB · Views: 6
Ataishi milele? Hawa wanachama wa mboga mboga wanatakiwa wajifunze kitu kwenye yaliyomtokea bwana slow slow, hakuna alie salama muda ukifika hadi mawe yakukataa hayataki kuwa upande wako.
 
Kuna yule mwingine alisema watatumia sindano za sumu nae akale teuzi
Ilikua kipindi Cha uchaguzi wa 2020
 
Anaishi dunia ya wapi mpaka anakuwa na ujasiri wa kutishia hadharani na pia kudhuru wengine?
 
Back
Top Bottom