Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena?
Na kama ulifanyika,
Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika mkutano huo wa hadhara bomang'ombe?
Chadema communication & strategy team mnakwama wapi my friends, ladies and gentlemen?
Mbona mmesinzia na kuzubaa kiasi hiki?
Wadau wa JF wangependa kufahamu feedback ya mkutano mliooutangaza kufanyika bomang'ombe ndugu zangu? Au na nyinyi ni one army kama ilivyo sasa kwa mwenyekiti mpya wa chadema taifa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania