john

  1. V

    JamiiForums Tanzania Happiness makes noise when it leaves you-msemo wa Mwalimu Thomas John Kabanga sec,Kagera kati ya 2015 na 2020

    Leo sijaja na mada inayokutaka ureason saana,..Aya waliosomea Kabanga na kufundishwa English na huyo mwalimu advanced level piteni hapa kidogo.....nasikia saizi yupo Ngara high school mko wapi
  2. F

    JamiiForums Tanzania Octoba 29, ni birthday ya Mzalendo, John Pombe Joseph Magufuli

    Hellow! Imebaki siku moja tu kama Taifa tutakuwa tukishesehekea siku njema ambayo mwenyezi Mungu aliiteta nyota iliyostahili kubeba hatma za watanzania siku za mbeleni, nyota hiyo ni mtoto JPM. Siku hii ya October 29 inaSherehekewa kwa mengi, ikumbukwe pia kuwa ,ni katika siku hii, maelfu ya...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Maono: nimemuona makam wa rais John dejembi akitoa tangazo alikuwa amekaa kwenye kiti

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimeona John dejembi akitoa tangazo Asante sana Ni maono ngoja tuyasubili SAYUNI BOY
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amchomesha John Pambalu

    Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha John Pambalu kurudi Tanzania kutoka Mafichoni nchini Kenya?? Pesa za wafadhili zilimuishia?

    LILIKUWA ni suala la muda tu kuwa utafika lini ili Pambalu afike hapa alipofika sasa kwenye hatua za maisha yake hapa duniani. Amepata alichokuwa anahangaika kukipata kwa muda mrefu sana kwenye huu ujinga wao wanaofanya na kuuita ni siasa na hatakati. VIJANA wengi wa BAVICHA huwa...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha Super Captain John Robert Lyimo

    https://youtu.be/uqkTaPm4efU?si=HATGQBYqm7ACQSR_
  7. L

    JamiiForums Tanzania Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

    Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kulikoni hakuna feedback ya mkutano wa hadhara wa Mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa ndugu John Heche pale Bomang'ombe ground, Hai?

    Au ule mkutano uliotangazwa kufanyika pale bomang'ombe haukufanyika tena? Na kama ulifanyika, Mwenyekiti wa Chadema taifa baada ya kujitangaza mwenyewe, na kudai Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa, ametoa kauli au maelekezo gani ya kwanza kama mwenyekiti wa chadema taifa katika...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hatua ya John Heche kutamka kwamba Tundu Lisu ni Makamu mwenyekiti wa chadema taifa inatoa ujumbe gani mzito kwa wanachadema?

    What coded massages is John Heche trying to communicate to chadema party members politically speaking? Ni kipi hasa John Heche ana uhakika nacho hadi kufikia hatua ya kudai na kutamka hadharani kwamba Tundu Lisu ni makamu mwenyekiti wa chadema taifa na sio mwenyekiti kamili? Je, ukiwatazama...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unakuta mbongo anaitwa Paul Peter John au Rashid Mohammed Rashid.

    Yaani hapo huwezi kujua ni mbongo au muingereza au muarabu .Je jina la ukoo linwezekana kuwa John au Rashid kwa mbongo? Yaani kwenda kanisani kidogo au msikitini au baada ya kusoma elimu dunia ushaona mtoto hawezi kuitwa Mangungo.
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania John Pambalu Set to Face Terrorism Charges on Monday, 19 October 2026.

    DAR ES SALAAM: It is a milestone achievement for the Tanzania Police Force following the apprehension of their most-wanted fugitive criminal, John Pambalu, in the northern city of Arusha. John Pambalu, who played a vital part in the violence on October 29, spent much of his time hiding in Kenya...
  13. C

    JamiiForums Tanzania John Heche ametangaza wazi kuwa yuko tayari kwa lolote hata kifo na hatokimbia nchi ,atabaki kupigania demokrasia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema hatakimbia nchi licha ya madai ya kuwepo kwa mipango ya kufunguliwa kesi, akisisitiza kuwa yuko tayari kufa akipigania demokrasia na mabadiliko ya nchi. Heche ameyasema hayo leo Ijumaa Oktoba 16, 2026 mjini...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

    Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha. Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu ××××××××
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Bina ni kada wa CCM alimshauri Samia kuua waandamaji hafai kuwa kuwa rais wa Femata

    Wachimbaji wadogo mlisikia John Bina akishauri waandamaji wanaopinga taifa lao kuibia rasilimali zao wauliwe. Leo hii yeye kwa kiburi anajinasibu ni mwenyekiti wa Femata. Shirikisho la wachimbaji wadogo hapa Tanganyika. Wachimbaji wengi waliuliwa na kwa risasi Oktoba 29. John Bina hafai hata...
  17. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania John magufuri na Benjamin netanyahu ndo watu pekee wanaojua lugha ya kuzungumza na wapumbafu

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Binti mvaa Ninja amtuhumu John Heche kumtelekeza

    John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Nickson Simon John awataka watumishi Songwe kujenga utamaduni wa kazi unaotoa matokeo

    Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Nickson Simon John, Oktoba 8, 2026 alifanya kikao na Watumishi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Songwe katika Ukumbi wa Sambila, akisisitiza umuhimu wa kujenga utamaduni wa kiutendaji unaozingatia matokeo na mahitaji ya Wananchi. Akizungumza katika kikao...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tanzania hii John ni Mmoja tu

    Anaandika John Heche. Kazi ya msajili ni kusajili vyama, kuvilea ili vikuze ushindani bora wa kisiasa ili Nchi yetu ipate maendeleo ya haraka .. Kwa kupata sera mbadala na kuwapa wananchi nafasi ya kuchagua mtu wanemtaka. Huyu bwana Mtungi kinyume chake ni kushambulia chama chetu kila siku...
Back
Top Bottom