Godbless Lema amchomesha John Pambalu

Godbless Lema amchomesha John Pambalu

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.

Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.

Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
IMG_3777.jpeg
 
View attachment 3696231
ccm ni wapumbavu toka lini sare za polisi tanzania zikawa na crown nyeusi hivyo au jinsi mlivyo wapumbavu huko lumumba mnatuona wote ni machoko kama mlivyo.
 
Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.

Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.

Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
View attachment 3696231
Lema hawezi fanya upumbavu huo. CCM hamuwezi kuipasua CHADEMA kwa tumbinu twenu dhaifu
 
Kuna wakati nawaona hawa vijana bado watoto watoto sana na wameanzisha harakati bila ya kuwa na uelewa wa mambo ya gizani, namna Dola zinavyooperate, siasa za Dunia na uhuni, ukweli na uhalisia wa demokrasia vs uhuni wa gizani wa wakubwa wa Dunia.

Huwezi ukaanzisha harakati dhidi ya Serikali ya Tanzania au Serikali yeyote Africa na ukajificha Africa ukajiona salama.
Dunia inaendeshwa na wahuni, unaweza tu kuwa salama na ukalindwa na kundi fulani kama kundi husika lina maslahi au harakati zako kuna mahala zinaleta maslahi Kwa wahuni fulani, hii ndio dunia.

Hata Mange, USA anaweza tu kuendelea kuwa salama kama bado kuna maslahi Fulani Fulani USA inanufaika mahala dhidi ya harakati zake...kifupi anatumika kama bargain chip dhidi ya maslahi ya USA Tanzania....na siku CIA watakapoona hana msaada wanaweza kumdump mapema asubuhi au hata kumtoa sadaka kwa Tanzania ili wapate kile wakitakacho.

Unahitaji utulivu na akili kubwa kuielewa dunia kabla hujawa mbuzi wa kafara.

Safarini Hodeidah port - Yemen.
 
Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA kiliambiwa kuwa Pambalu anatarajia kukinukisha Arusha.

Taarifa hizo zilikua na msaada mkubwa wa kumkamata mtu ayeisababishia harasa nchi kwa kuratibu kuchoma mali za watu na miundombinu.

Nikupongeze ndugu Godbless Lema kwa kufanya kazi ya kizalendo
View attachment 3696231
🚮
Chai, propaganda, uongo..
 
Mimi ni mwanadamu, sujawahi kuwa chawa.
Nimeumbwa kwa mfano halisi wa Mungu
Siwezi kukuita wewe "chawa" hata siku moja, lakini leo nashangaa ni kama mmepishana viti na huyo unayejibishana naye.
Hivi unataka Lema afanye nini ndipo umjue uhalisia wake ulivyo?
Hadi hatua hii Lema ni mtu wa kuwa na mashaka naye kuhusu msimamo wake ndani ya CHADEMA?
 
Hata Mange, USA anaweza tu kuendelea kuwa salama kama bado kuna maslahi Fulani Fulani USA inanufaika mahala dhidi ya harakati zake...kifupi anatumika kama bargain chip dhidi ya maslahi ya USA Tanzania....na siku CIA watakapoona hana msaada wanaweza kumdump mapema asubuhi au hata kumtoa sadaka kwa Tanzania ili wapate kile wakitakacho.
Hili linaeleweka, sasa tueleze mbadala wake ni nini. Watu wakae tu watulie kwa vile kuna maslahi ya wakubwa?

Wasiende nchi za kiafrika, waende wapi na kwa njia zipi?
Unahitaji utulivu na akili kubwa kuielewa dunia kabla hujawa mbuzi wa kafara.
Hii uliyoonyesha hapa kwa maandishi, ndiyo "akili kubwa"!
Na kamwe wewe huwezi kuwa "mbuzi wa kafara" Sasa sijui utakuwa kitu gani hasa wewe?
 
Back
Top Bottom