john pambalu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kesi ya uhaini dhidi ya John Pambalu kutajwa mahakamani kesho Novemba 4, 2026

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa kesi ya uhaini inayomkabili Mkurugenzi wake wa Oganaizesheni, Mafunzo na Uchaguzi, John Pambalu, inatarajiwa kutajwa kesho, Jumatano, Novemba 4, 2026, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, saa 3:00 asubuhi...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton: Lema alimuhakikishia usalama John Pambalu akirudi Tanzania ila akaishia kukamatwa na Polisi

    Juzi niliwambia kwamba kuna mtu alimshauri Pambalu arudi Bongo ila sikumtaja huyo mtu nani. Sasa iko hivi, huyo mtu ambae alimshauri Pamablu arudi bongo ni Godbless Lema na yeye ndo alimuhakikishia Pambalu kwamba atakuwa salama alienda mbali zaidi akasema kwamba kazungumza na Mafwele kila kitu...
  3. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema amchomesha John Pambalu

    Baada ya kufanya aliyoyafanya na kukimbilia Nchini Kenya John Pambalu alikumbuka na Kurudi nyumbani akijua kuwa Vyombo vya Ulinzi na usalama vitakua vimesahau mara baada ya kuwasili nchini akitumia mpaka wa Namanga vyombo vya ulinzi na usalama kwa kutumia chanzo kilichopo ndani ya CHADEMA...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Nini kilisababisha John Pambalu kurudi Tanzania kutoka Mafichoni nchini Kenya?? Pesa za wafadhili zilimuishia?

    LILIKUWA ni suala la muda tu kuwa utafika lini ili Pambalu afike hapa alipofika sasa kwenye hatua za maisha yake hapa duniani. Amepata alichokuwa anahangaika kukipata kwa muda mrefu sana kwenye huu ujinga wao wanaofanya na kuuita ni siasa na hatakati. VIJANA wengi wa BAVICHA huwa...
  5. Troll JF

    JamiiForums Tanzania John Pambalu Set to Face Terrorism Charges on Monday, 19 October 2026.

    DAR ES SALAAM: It is a milestone achievement for the Tanzania Police Force following the apprehension of their most-wanted fugitive criminal, John Pambalu, in the northern city of Arusha. John Pambalu, who played a vital part in the violence on October 29, spent much of his time hiding in Kenya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeelani vikali kukataliwa kwa dhamana ya John Pambalu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani kitendo cha Jeshi la Polisi kumnyima dhamana kiongozi wake, Mhe. John Pambalu, baada ya kukamilika kwa mahojiano yake. CHADEMA kimeeleza wasiwasi wake kuwa hatua hizo zinaashiria mpango wa kumfungulia kesi za ugaidi au uhaini ambazo hazina...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Pambalu wa CHADEMA atuhumiwa kwa ugaidi

    Mkurugenzi wa oganaizesheni na uchaguzi wa CHADEMA, John Pambalu anatuhumiwa kwa makosa ya ugaidi, taarifa zimeeleza. Soma pia: Wakili Kisabo: Jeshi la Polisi litoe taarifa rasmi kuhusu alipo kada wa Chadema, John Pambalu CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha...
  8. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Wakili Kisabo: Jeshi la Polisi litoe taarifa rasmi kuhusu alipo kada wa Chadema, John Pambalu

    Wakili Paul Kisabo kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kutoa taarifa rasmi kuhusu alipo John Pambalu, kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye anadaiwa kukamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi jijini Arusha na baadaye...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

    Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha. Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu ××××××××
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Anaandika John Pambalu: Mkiijua political game plan, hamtamshambulia Chalamila kwa matamshi yake dhidi ya Padri Kitima au masheikh dhidi ya Nchimbi

    MKIIJUIA POLITICAL GAME PLAN, HAMTAMSHAMBULIA CHALAMILA KWA MATAMSHI YAKE DHIDI YA PADRI KITIMA AU MASHEIKH DHIDI YA EMMANUEL NCHIMBI. Na Mwl John Pambalu. Hivi ukienda porini kuwinda swala, ukawa na mishale michache mfano mitatu. Ukienda ukakutana na ngedere wanaoruka mti huu na ule...
  12. Msolo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rose Mayemba na John Pambalu waomba hifadhi Kenya

    Taarifa kupitia Citizen Tv ya Kenya, wanachama wa Chadema na wajumbe wa kamati kuu, John Pambalu na Rose Mayemba wameomba hifadhi nchini Kenya baada ya vurugu zilizotokea Tanzania 29 Oktoba. =============== Serikali ya Kenya imetakiwa kutoa hifadhi kwa viongozi wa upinzani kutoka Tanzania ambao...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli daima utajitenga na Uongo: Angalia busara za John Pambalu

    Nimeota Ally Kamwe ndiye mwamuzi wa derby ya Simba na Yanga. Kumbe sio ndoto ni kweli: Ramadhan Omary Mapuri Mwenezi mstaafu wa CCM ni Kamishna wa Tume ya taifa ya Uchaguzi. Halafu wanasema eti haki itatenda. Then next page kuna hii: Simba na Yanga, TFF inaleta waamuzi kutoka Misri ili haki...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Pambalu, Twaha Mwaipaya, Lucas Ngoto na wanachama kadhaa wa CHADEMA wapigwa na Polisi na kutupwa Bagamoyo

    1. John Pambalu, Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi. 2. Twaha Mwaipaya. 3. Lucas Ngoto mwenyekiti wa Chama kanda ya Serengeti. 4. Na wanachama wengine Wamepigwa na kuumizwa sana na kutupwa Bagamoyo.
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ya CHADEMA iliyoongozwa na Tundu Lissu, yateua Wakurugenzi wapya

    TAARIFA KWA UMMA Kamati Kuu ya Chadema iliyokutana katika kikao chake maalum cha siku mbili kuanzia juzi tarehe 11 mpaka 12 Machi 2025 ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu imefanya uteuzi wa Wakurugenzi kwa mujibu wa ibara ya 7.7.16 (b) na Wataalamu mbalimbali wa Makao Makuu...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pambalu: Tuachane na Wasira tupambane na Samia

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka! === Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo- CHADEMA (BAVICHA) taifa, John Pambalu amewashauri wanachama wa chama hicho kuacha kupambana kisiasa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira kwa kudai...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA ni Ishara Vijana wa CHADEMA choka Mbaya

    Ukisikiliza quotes za kujifariji za kijana wa CHADEMA John Pambalu kwenye Uchaguzi wa BAVICHA, inaonesha hali mbaya sana ya hawq vijana wa CHADEMA anafanya quotations za watu maarufu ambao kwa sasa wako kuzimu na hawewezi kumtia tumaini lolote huku dubwana na beberu Mbowe likiwa meza kuu...
  18. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania John Pambalu ni mchungaji au mwanasiasa? Abarikiwe sana ana nondo sijapata kuona? Sion wa kumfananisha naye bongo

    Amani iwe nanyi waungwana Huyu John Pambalu ni kateksita, mchungaji au mwanasiasa? Sioni mchungaji au kateksita au mwanasiasa wa kumfananisha naye Kijana ana nondo ni balaa Kamchana chana Mbowe kama karatasi Anadai kama CHADEA wanaenda kumchagua kiongozi kwa sababu ya pesa Kuna umhimu gan...
  19. J

    JamiiForums Tanzania John Pambalu: 13/01/2025 Nastaafu rasmi kazi hii hatari ya Mwenyekiti wa Bavicha, Kwenye struggle ni lazima kuwa Real kwani imebeba Majonzi na Vilio!

    Mwenyekit wa Bavicha mwalimu John Pambalu atastaafu rasmi 13 January, 2025 baada ya sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar Ameandika ukurasani X Sabato njema
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pambalu: Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora

    Anaandika mwenyekiti wa BAVICHA Taifa John Pambalu katika ukurasa wake wa x -- Kumbukeni tuna chama cha kujenga baada ya uchaguzi. Udhaifu wa usiyemuunga mkono haumfanyi unayemuunga mkono kuwa kiongozi bora. Kiongozi bora anatetewa na tunu, maono na kipaji cha uongozi alichojaliwa na sio...
Back
Top Bottom