CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha.

Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu

PAM.png

××××××××
Screenshot_20261014_142635_Instagram.jpg
 
Yana mwisho haya.
yana mwisho tukichukua hatua za wazi against injustice. maneno hayatasaidia

Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Joseph Kabila, ametangaza kuundwa kwa muungano mpya wa kisiasa na kijeshi unaojulikana kama Front for the Refoundation of the Nation (FRN) (Muungano wa Kujenga Upya Taifa). Hatua hii inalenga kuunganisha nguvu zote za upinzani na makundi ya waasi ili kukabiliana na kuuondoa utawala wa Rais Félix Tshisekedi. [1, 2]
Muungano huo mpya wa FRN unajumuisha maelezo yafuatayo:
  • Uongozi wa Juu: Joseph Kabila amechukua nafasi ya Mwenyekiti mkuu wa muungano huo. Anasaidiwa na makamu wenyeviti wanne, akiwemo Bertrand Bisimwa na Corneille Nangaa (ambaye alikuwa kiongozi wa muungano wa awali wa Congo River Alliance - AFC). [1, 2]
  • Ushirika wa Kijeshi: Muungano huu unawaleta pamoja wapinzani wa kisiasa na makundi ya waasi yenye silaha, hasa kundi la M23 linalodhibiti maeneo makubwa mashariki mwa DRC. Kamanda wa kijeshi wa M23, Sultani Makenga, ametajwa kuwa Mnadhimu Mkuu wa Majeshi katika muundo huo mpya. [1, 2, 3]
  • Lengo Kuu: Kupitia kwa washauri wake waliotangaza muungano huo mjini Goma, FRN imebainisha kuwa inakusudia "kukomesha utawala wa kidhalimu kwa njia yoyote ile, ikiwemo kutumia nguvu" kwa madai kuwa serikali ya sasa imeshindwa kulinda taifa na kuingiza nchi katika mgogoro mkubwa wa kiuchumi na kiusalama. [1, 2]
Hatua hii imekuja baada ya mvutano wa muda mrefu ambapo serikali ya Tshisekedi ilikuwa imemshutumu Kabila kwa kuchochea uasi, hatua iliyopelekea mahakama ya kijeshi nchini DRC kumhukumu kifo Kabila bila kuwepo mahakamani (in absentia) mwaka uliopita. Tangazo la FRN linaongeza sintofahamu kubwa katika hatakati za kisiasa na usalama
 
Duuuh hatari sasa hii.
 
Hii safi tunaweza ku team nao, tukawafutilia mbali CCM.
Sioni CCM wakiondoka madarakani bila kutumia mtutu wa bunduki.
 
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha.

Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu

well done PT.

there is no escape routes for criminals gangs in Tanzania 🐒
 
Wacha Polisi ifanye kazi yake, Polisi ni mahali pa kila Mtanzania, taharuki za nini??

Kama ana hatia atawajibika, kama hama hatia ataachiliwa
Mbona hatujamuona Fares Buruani aliyetishia watu kupotenzwa?, mbona hatujamuona Mwaipopo na kundi lake la utekaji... Kumamayo na ushoger wako ...
 
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha.

Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu

Dogo namjua huyu bwana mdogo ni mtu mwema sanaa tokea alisoma hapo butimba day secondary

Ni mkatoliki kindaki ndakii.. nikijana mwenye nidhamu na mnyenyekevu sio mgomvi wala hawezi kutukana matusi akiwa anakuja nyumbani kwetu enzi izo na mdogo angu wa kiume

Na kwa Sasa naona astaafu siasa

NB. Na mnukuu mdogo angu akisema imagine ukimpigia simu anaogopa kupokea sababu ya watu wasio julikana anaishi kwa kujificha ficha ni muda Sasa astaafu siasa afanye mambo mengine
 
Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho, yote haya yatapita, manyanyaso , mateso na uvunjwaji wa haki za msingi na kikatiba unaotokea hivi sasa ipo siku itabaki historia
Kwani kuitwa polisi au kupelekwa polisi tayari ni kosa.Kama atakutwa hamna kosa lolote lazma atakua huru tu.
 
Back
Top Bottom