CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

CHADEMA: John Pambalu akamatwa na kupelekwa Central Police Arusha

Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha.

Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu

Ndo maana tumeambiwa hilo jeni ni idara ya CCM wao hawajakanusha
 
..Pambalu lazima akamatwe ili atoe taarifa za wenzake waliokimbilia uhamishoni.

..binafsi nilishangaa kumuona amerudi ukizingatia mambo yaliyomkimbiza bado hayajakoma.

..Nadhani wenzake waliokimbia wamepata majibu kama Tanzania ni salama au la.

..Pia waliokimbia wametengenezewa uhalali mbele macho ya taasisi na jumuiya ya kimataifa wa kutambuliwa kama wakimbizi wa kisiasa.
 
Mkurugenzi wa Mafunzo, Oganaizesheni na Uchaguzi Mhe. John_Pambalu pamoja wenzake waliokuwa kwenye gari ya Chama walikamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa Central Police Arusha.

Baada ya kufika kituoni Jeshi hilo limesema linamhitaji John Pambalu tu


××××××××
View attachment 3690536
Ni jambo jema. Kama ana tuhuma za uhaini ni vizuri Jeshi la Polisi likachukua hatua mapema.
 
Mbona hatujamuona Fares Buruani aliyetishia watu kupotenzwa?, mbona hatujamuona Mwaipopo na kundi lake la utekaji... Kumamayo na ushoger wako ...
Shoga ni baba yako mzazi ambaye unamfira
 

Attachments

  • Screenshot_20260514-220943~2.png
    Screenshot_20260514-220943~2.png
    600.8 KB · Views: 7
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 3
  • 20260930_221723.jpg
    20260930_221723.jpg
    57.6 KB · Views: 6
IMG-20261014-WA0082.jpg
IMG-20261014-WA0083.jpg
IMG-20261014-WA0081.jpg
IMG-20261014-WA0084.jpg


Na Albert Pambalu, Magu

Haya mambo yanaumiza sana, imagine ndugu yako anafanya vitu vya hovyo unamshauri lakini hasikii eti kisa kutafuta umaarufu wa kisiasa.

Ukiwa mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na ukakosa busara unaweza kufikiria wewe uko juu ya sheria, shujaa na mtu asiyegusika hata na vyombo vya dola. Kiburi cha aina hii mwisho wake ni mbaya kwa kuwa unavunja sheria huku ukitoa maneno ya kishujaa.

Kwa asiyefahamu mdogo wetu John aliamua kwa makusudi kuhamasisha vurugu zilizopelekea vifo vya watu wengi sana hapa Mwanza na maeneo mengine nchini na baadae aliamua kukimbilia nchini Kenya. Tupo tuliompa onyo mapema aache kufanya siasa zisizo na tija lakini hakuelewa.

Leo hii nimepata taarifa kuwa amekamatwa huko Arusha baada ya maisha kuwa magumu nchini Kenya alikokuwa amejificha. Hapa ndio ile kauli ya mwisho wa ubaya ni aibu inadhihirika. Wako wapi waliokuwa wanamjaza nyembe avunje sheria za nchi?

Vipi, kwani hapo Kenya amefukuzwa? Kwanini alikimbia na sasa amerudi? Sisi ndugu zako tulikupa ushauri uachane na siasa za kihuni lakini hukuelewa na ukaamini wewe ni maarufu kuliko shilingi sasa umetiwa nguvuni hujui kesho yako. Hii ni aibu kubwa kwetu!

Anyways, mchuma janga hula na wa kwao. Wategemezi wako wote umetuachia sisi huku wewe ukiendelea kumtumikia shetani kwa siasa zinazohamasisha vurugu. Sote ni mashahidi namna ulivyotumia mdomo wako kuhamasisha vurugu Octoba mwaka jana, sasa ni wakati wa kupata mavuno yako.

Fanya siasa lakini kamwe usivuke mipaka ya kutumika kuvuruga amani ya nchi yako. Tanzania ni moja tu na huu ni wito wangu hata kwa wale waliopo Canada ipo siku mtarudi na mtawajibika sawa sawa na maovu yenu "Mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani". Karibu ngamani mdogo wangu Mwalimu John John Pambalu.
 
Back
Top Bottom