instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake.
Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi Nina majibu ya hayo maswali yote lakini niache nisiingilie uhuru wa vyombo vya Dola.
Pia Pambalu anajua hatima za akina Hilda newton na sativa huko Kenya zipoje kwahyo acheni vyombo ya Dola vifanye KAZI yake bila kuingiliwa na mtu au taasisi yyte.