Wewe unalelewa na nani?Wanaolelewa ni viongozi wa chadema na wake zao, John Pambalu alijichanganya kulelewa na maria Sarungi mwisho wa siku ametimuliwa kwa aibu
Wewe unalelewa na nani?Wanaolelewa ni viongozi wa chadema na wake zao, John Pambalu alijichanganya kulelewa na maria Sarungi mwisho wa siku ametimuliwa kwa aibu
Hayo mambo ya kulelewa yapo kwa viongozi wa chadema muasisi wao ni Dr slaaWewe unalelewa na nani?
Chawa,Pambalu ni mhaini kama wahaini wengine ndo maana alijificha kwa Maria Sarungi akidhani atalelewa miaka yote
Achana na mabeberu hawana nafasi kwenye Sheria za TanzaniaChawa,
Kwa hiyo tayari ushampa kosa la uhaini??
Wahaini halisi ni watawala haramu, pitia hapa..
👇
Gazeti la Uingereza ladai kuwepo Mtandao Mkubwa wa Silaha na Dawa za Kulevya Afrika: Marais Kadhaa Watajwa. Uchunguzi (investigation) unaendelea | JamiiForums Tanzania https://share.google/D6X6J6s24j4ZOrArp
Ondoa upuuzi wako hapaUlishawahi Kula tunda kimasihara?
Acheni kuwasingizia hao mabwana zenu..Achana na mabeberu hawana nafasi kwenye Sheria za Tanzania
Pambalu kwenda Kenya ni kosa kisheria?Uwe unasoma post kabla ya ku comment unakurupuka sana
Soma vizuri post usikurupuke, majibu ya swali lako yapo ndani ya postPambalu kwenda Kenya ni kosa kisheria?
Ndo maana ya rule of lawSheria inakata kote kote hata wewe itakufikia tu hayuko ambaye yuko juu ya sheria
Hujielewi.Soma vizuri post usikurupuke, majibu ya swali lako yapo ndani ya post
Kwani mama aliondokaje kwenda Zambia kwa ChivayoTuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake.
Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi Nina majibu ya hayo maswali yote lakini niache nisiingilie uhuru wa vyombo vya Dola.
Pia Pambalu anajua hatima za akina Hilda newton na sativa huko Kenya zipoje kwahyo acheni vyombo ya Dola vifanye KAZI yake bila kuingiliwa na mtu au taasisi yyte.
Ni kweli Pambalu ni mkosaji ndo maana alikimbilia KenyaHujielewi.
Post yako yote umejaribu kumuonesha Pambalu kama mkosaji bila kuonesha kosa lake.
Ukidai kuviachia vyombo vya usalama, ni kwasababu hivyo vyombo vya usalama navyo vinafanya kazi kwa kupiga ramli kama wewe.
But Pambalu hana kosa ndio maana unazunguka tu huwezi kunijibu maswali yangu.
Mtu kwenda Kenya lazima awe na kosa?Ni kweli Pambalu ni mkosaji ndo maana alikimbilia Kenya
Kama siyo mharifu kwanini ukaishi Kenya kwa Maria Sarungi kama mkimbiz umeacha familia Yako Tanzania.... Pambalu analijua kosa lake na uzuri atafunguliwa kesi ....kwahyo hujui kama Hilda newton na sativa ni waharifu? Basi unashidaAcha kupiga ramli hapa!Viongozi wa CDM wamekuwa wakikamatwa miaka nenda rudi na kufunguliwa kesi za mchongo na mwisho wa siku wanaachiwa huru!Sio suala jipya hili!
Matumizi mabaya ya Dola kwa wakosoaji wa serikali ya CCM!
Yaani unampa haki mtu kwa mkono huu kisha unampokonya kwa mkono ule!
Umeshalewa pombe za ofaWewe ni takataka mavi kabisa