UmeshalewaWewe ni takataka mavi kabisa
Mharifu ndio Nini?Kama siyo mharifu kwanini ukaishi Kenya kwa Maria Sarungi kama mkimbiz umeacha familia Yako Tanzania.... Pambalu analijua kosa lake na uzuri atafunguliwa kesi ....kwahyo hujui kama Hilda newton na sativa ni waharifu? Basi unashida
Heri mimi hata hizo za ofa zipo sio posho za buku sabasaba😂😂😂Umeshalewa pombe za ofa
Ndio maana wanataka kukaa madarakani milele,Wanajua siku CCM ikianguka basi watakimbia nchi!Banana republic yetu inamatatizo sana! Ni ubabe, utemi, woga wa mapinduzi sababu ya uharamia na uhalifu wao!
Ila haya yote Yana mwisho!
🚮🚮🚮🚮🚮Umeshalewa
Safi sana.Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake.
Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi Nina majibu ya hayo maswali yote lakini niache nisiingilie uhuru wa vyombo vya Dola.
Pia Pambalu anajua hatima za akina Hilda newton na sativa huko Kenya zipoje kwahyo acheni vyombo ya Dola vifanye KAZI yake bila kuingiliwa na mtu au taasisi yyte.
muda wa ushahidi uende ukatoe ushahidi wewe nguruwe usibaki keyboard worriorTuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake.
Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi Nina majibu ya hayo maswali yote lakini niache nisiingilie uhuru wa vyombo vya Dola.
Pia Pambalu anajua hatima za akina Hilda newton na sativa huko Kenya zipoje kwahyo acheni vyombo ya Dola vifanye KAZI yake bila kuingiliwa na mtu au taasisi yyte.
muda wa ushahidi mahakamani ukatoe ushahidi wewe nguruwe usibaki keyboard worrior.Pambalu ni mhaini kama wahaini wengine ndo maana alijificha kwa Maria Sarungi akidhani atalelewa miaka yote
muda wa ushahidi mahakamani ukatoe usibaki keyboard worrior wewe mavi.Safi sana.
wewe nguruwe wanakulelea kwenye makorido ya lumumba muda wa ushahidi uende mahakamani kutoa ushahidi usibaki keyboard worrior nguruwe kasoro mkia.Wanaolelewa ni viongozi wa chadema na wake zao, John Pambalu alijichanganya kulelewa na maria Sarungi mwisho wa siku ametimuliwa kwa aibu
pumbu ni yule anayekupiga miti kwenye makoridor ya lumumba, 2030 jiandaeni kukimbia nguruwe wa kizmkazi.Huyu PUMBUlu ana unafuu kuliko Sativa, Hilda na Mwaipaya.
Kwani wengine wanaondkaje kwenda Kenya?Nimekwambia jiulize aliondokaje kwenda Kenya? Na kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi na kwann amefukuzwa na maria Sarungi
kwamba ulitaka aje aliage basha lako au ulitaka akupige miti kisha akuage wewe nguruwe wa kizmkaziNimekwambia jiulize aliondokaje kwenda Kenya? Na kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi na kwann amefukuzwa na maria Sarungi
Au kulelewa na maria?Kuna sheria yoyote Pambalu ameivunja kwa kufahamiana kwake na Maria Sarungi?
Muulize maria Sarungi aseme Pambalu alimpokeaje hadi kumlea na mwishoni kumtimuaKwani wengine wanaondkaje kwenda Kenya?
Kama ni issue ya bila passport, Kenya ndio walipaswa kumkamata. Wamasai wangapi wanaenda Kenya bila passport, mbona hatujasikia wamekamatwa wanaporudi? Hata Zambia pale Tunduma watu wanaingia tu bila passport,mchana kweupe!
Sio kwamba aligundua ni pandikizi la TISS? Hii inaweza kuwa show tuMuulize maria Sarungi aseme Pambalu alimpokeaje hadi kumlea na mwishoni kumtimua
Hapana ford foundation wamegoma kulisha wanaume ndo maana Pambalu amefukuzwaSio kwamba aligundua ni pandikizi la TISS? Hii inaweza kuwa show tu
Yaani Maria Sarungi chakula cha mtu mmoja kimshinde, anaishi maisha gani huko Kenya basi. Haiwezekani hiyo ndio sababu. Come on man, dont swallow kilakitu unaambiwa. Use common sense.Hapana ford foundation wamegoma kulisha wanaume ndo maana Pambalu amefukuzwa
Alikuwa anaishi na watu wengi sana ...huyo Pambalu, sativa na Hilda newton na mifugo ambayo huwa analisha PambaluYaani Maria Sarungi chakula cha mtu mmoja kimshinde, anaishi maisha gani huko Kenya basi. Haiwezekani hiyo ndio sababu. Come on man, dont swallow kilakitu unaambiwa. Use common sense.