John magufuri na Benjamin netanyahu ndo watu pekee wanaojua lugha ya kuzungumza na wapumbafu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Kuna watu wawili pekee ambao nimewahi kuwashudia wakiwa smart sana wanapozungumza na wajinga

Watu hao ni mwendazake John Joseph magufuri pamoja Benjamin netanyahu

Magufuri alijua fika kabisa taifa hili Lina wahujumu maendeleo wengi pamoja na wabadhilifu wengi hivyo baada ya kuingia madarakan lugha aliyosema nayo ni kuwakanda kwa kishindo tena kibabe na kwa kikitisho

Leo hii hayupo nchi inajiendesha kama Iko kwenye siku zake kama Haina watawala au viongozi kila kitu kinahujumiwa na kukwama kuanzia mwendokasi mpaka TREN ya umeme, leo hii ukienda sgr kukata tiketi ya kuelekea Dodoma unaambiwa imejaa lakin wakati wa kuondoka inaondoka tupu ikiwa Haina watu, mpaka unajiluiza unabaki kushangaza kwamba ni nini hiki jaman

Nataman hata kesho mtu afe ili aje rais ambaye ni rais achana na hii picha ya ukutan tuliypnayo, barabara Zina mashimo nchi mzima, hospital huduma mbovu utazan mwaka 80 kila kitu kimevulunda ni hatari sana

Mwamba mwingine ni Benjamin netanyahu huyu kapakana na waarabu ambao lugha wanayo ielewa ni kipigo bila kipigo waarabu hawaendi na kweli jamaa anashusha kipigo tu

LONDON BOY
 
Ungetulia ungeweka uandishi wenye mtiririko mzuri
 
Lucas ngoja aje atiririkwe na machoz yake yanayotiririka kila mara
 
ok.🐒
 
WATU WANATAMANI TUJENGE NCHI YENYE SYSTEMS IMARA WEWE UNAKUJA NA AKILI ZA MWAKA 47.

SASA HUYO UNAYEMUWAZA NAYE AKITWALIWA TUNAANZA UPYA. HUU UJINGA WA KUMTEGEMEA MTU MMOJA NDIO AWE ALFA NA OMEGA WA KILA KITU, SIKU HAYUPO PYRAMID YOTE INAVUNJIKA!!!
 
System imara kwa watu wajinga kama Samia?
 
KUSEMA UKWELI HUYU KIBIBI WA KIZANZIBAR WANAMWITA SJUI MAMA HAKUSTAHILI KABISA KUWA DEREVA.HUYU ALIFAA AWE MPISHI WA CHAKULA CHA WACHOMA MKAA PORINI.MAMBO YA NCHI HAYAWEZI NDIYO MAANA HAKUNA CHA MAANA ALICHOFANYA TOKA ARIDHI URITHI WAKE KWA NJIA HARAMU
 
Back
Top Bottom