Maono: nimemuona makam wa rais John dejembi akitoa tangazo alikuwa amekaa kwenye kiti

Maono: nimemuona makam wa rais John dejembi akitoa tangazo alikuwa amekaa kwenye kiti

Nyie ndio mnaudhalilisha ukristo na maono yenu yasio kua kichwa wala miguu
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Nimeona John dejembi akitoa tangazo

Asante sana

Ni maono ngoja tuyasubili

SAYUNI BOY
John dejembi ndo nani broo?
Wewe ulikuwa wapi wakati huyo John dejembi akitoa Tangazo?
Beira Boy na SAYUNI BOY ni mtu mmoja au
 
Ujinga kama huu ndo utaifanya Ccm itawale milele
Wakati mwingine 'Mungu huamua ugomvi' so usijitoe ufahamu chawa!

Katiba imempa nguvu kutumia mamlaka yake vby ikiwemo kesi za uhaini, ugaidi, kuteka nk nk
Sasa hapo ni Mungu tu ndiye atatusaidia!.
Hana power ya kumkwepa Israel mtoa roho, alikufa Jiwe itakuwa huyu!!.
 
zile damu zile ni nyingi mno!

Huwa najiuliza wanafamilia wa Rais hawakuona haya!!?

Kwani asilimia 80 ya mshahara wa urais na umakam unaolipwa baada ya kustaafu hakutosha kwani kusogeza maisha na kusomesha wajukuu,Hadi uingie kwenye mtego wa damu!!?

Damu zile aiseh damu
 
Jitekenye tu ila usisahau yule mama wa kizimkazi bado yupo sana yule mama unaweza muona kama boya ila amejipanga sana yule sio Jiwe
 

Ni Kweli Hata Mimi Nimemuona John Ndejembi Kakaa Kwenye Kiti,,Jua Kali Mnoo,,Acha Apumzike Nimempita Hapa Kibarazani Kwao...​
 
Back
Top Bottom