Hellow!
Imebaki siku moja tu kama Taifa tutakuwa tukishesehekea siku njema ambayo mwenyezi Mungu aliiteta nyota iliyostahili kubeba hatma za watanzania siku za mbeleni, nyota hiyo ni mtoto JPM.
Siku hii ya October 29 inaSherehekewa kwa mengi, ikumbukwe pia kuwa ,ni katika siku hii, maelfu ya watanzania wasio na hatia waliuwawa kwa kupewa jina baya la wahuni na panya road.
Ikumbukwe pia kuwa , katika siku kama hii mwaka jana, 29 october 2025, kikundi cha kwanza kuanza maandamano ya NRNE, walibeba bango la mzalendo huyu lenye picha yake, jambo ambalo lilipelekea wauaji kuruhusiwa kuua.
Itoshe kusema Magufuli hajafa, wamezaliwa wengi sana ambao watahakikisha aliyoyaanzisha yale mema yanafanikiwa kutokea na Tanzania mpya inafikiwa.
Happy Birthday John Pombe Magufuli.
Hongera mashujaa waliouwawa kikatili 0ctober 29, tunawakumbuka.
Mungu ibariki Tanzania.
Amin