Kuna mdau kwenye mtandao wa X anamuuliza John Heche anataka Umakamu Mwenyekiti wa Chadema halafu miradi ya Dotto Biteko asimamie nani?
Anaendelea kuanika "Hakuna asiefahamu kuwa wewe ndiye Msimamizi wa miradi yote ya Dotto Biteko ikiwemo migodi yake ya Madini".
Kugombea nafasi ya umakamo mwenyekiti chadema kwa John Heche ili ni pigo kubwa na baya sana kwenye kambi ya Mbowe na vibaraka wake.
Hakika wakati ni ukuta huwezi kushindana na wakati bahati mbaya Mbowe na timu yake hawakufikiria kuhusu wakati kuwakataa kuwa viongozi.
Sasa ni rasmi mkeka wao...
Wakuu mmesikia huko? John Heche rasmi ametangaza kumuunga mkono Tundu Lissu na atagombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama.
Heche ameongeza "Mimi Mbowe kwangu ni Baba wa Kisiasa, amenilea na hamheshimu sana. Tunakwenda kwenye uchaguzi na tutakushinda katika uchaguzi huu. Mimi namuunga mkono Tundu...
John Heche anategemea kutema cheche 05/01/2025, saa tano asubuhi.
Press conference hii itakuwa live kupitia vyombo mbali mbali vya habari. Uamuzi huo wa kuitisha press conference umeonekana kuungwa mkono na Godbless Lema kupitia mtandao wa X.
Soma zaidi...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani.
Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania
Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa.
Zaidi angalia hapa
Nlisoma humu uzi kuwa baba wa Taifa la Zanzibar ni John Okello (RIP) Huyu ni Che Guevara wa East Africa. Mwanamapinduzi na mpigania Uhuru.
Huyu alitoka kwao Uganda kuja kuwakomboa Wazanzibar. Alikuwa na moyo wa kipekee sana. Dunia haipaswi msahau.
Napendekeza kama ana ndugu zake anapokuja...
Awali ya yote kwa yeyote aliyekuja pupa ili kunijibu nina maneno mawili tu, "Punguza spidi", rejea kichwa cha uzi kisome vizuri kisha urejee tena.
Nakiri kwamba sikuwahi kuangalia filamu ya John Wick hapo awali, nilikutana na Posters zake tu ila sikupata muda wa kuitazama.
Siku ya juzi...
Merry Christmas 🎄
Lissu big no. Ana mihemko.hataweza kudeal na mambo makubwa.itakuwa vurugu
Mbowe nae big noo.miaka zaidi ya 20 jamani apumzike.
John Heche.kwanza handsome, bonge la genius, ana point za maana
All in all mama Samia forever
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
Watu wa mara ni watu strong sana sina wasiwasi nao, heche amesema watanzania wanatakiwa kupata CHAMA mbadala kitakacho pinga Rushwa kwa vitendo. Na amesema ataoa msimamo wake hivi punde.
Mungu ibariki chadema chini ya mpigania haki ya kweli ambae ni
Lisu. by mwinjilist wenu Gabeji.
Kwa hali ilivyo wananchi na wanachadema wote wanaomba uchukue fomu kwa ajili ya Makamu Mwenyekiti.
John unazo sifa zote kuliko Wenje na mwingine yeyote kwa nafasi hiyo.
Ni mwanachama Asili wa Chadema umepikwa na kupikikia na ni mzalendo wa kweli na mwenye Busara na Hekima utamsaidia...
Kaandika hivi katika mtandao wa X:
Tuna jukumu la kihistoria la kuhakikisha tunaipatia Nchi yetu chama mbadala, na serikali mbadala itakayowatumikia watu na kuwaondoa katika umasikini wa miaka 63 ya Uhuru.Serikali na chama kitachopinga rushwa bila aibu, chama kinachochukia umasikini, chama...
Kuna haja Gani ya kungangania madaraka Kama umejenga chama na Mifumo imara kwa miaka 20
Nilifikiri angegombea Uraisi lakini pia hafai kabisa , Kama mkiti wa chama ameshindwa kujenga Mifumo ni nchi iliyojaa rasilimali Kibao
Aibu kwa watu tuliowaona wangemshauri wamekuwa machawa
John Heche kwenye ukurasa wake wa Twitter ame- repost ujumbe wa David Mfugwa wa Chadema ambao unamtaka Mbowe kustaafu kwa heshima na kulinda heshima yake ndani ya Chadema. Hii ina maana kuwa hata Heche hakubaliani na kauli ya #Mi5tena.
Msimamo wetu hautaturudisha nyuma. Ni ama Mwamba avuke na...
Toka John Mrema ahitimu elimu ya Ualimu na kupata Gentlemen pass hajawahi kuwa na maisha nje ya Chadema au siasa.
Gari ya kwanza kumiliki Mbowe alimpa zawadi ya Nissan Safari ambayo ilikuwa Mali ya Chadema.
Kapata mke kupitia posho za chadema. Kajenga kupitia pesa ambazo anahongwa na Mbowe...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.
Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ndio hiyo ya majonzi juu ya kifo cha msajili wa vyama vya siasa mstaafu John Tendwa ambaye amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo.
Amekuwa msajili tangia wakati wa hayati Benjamini Mkapa mpaka wakati wa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete 2013.
Amepigana vita iliyo...
Habari za ndani ya kambi ya Lissu ni kwamba ameandaa orodha ya watu ambao yeye anawaita chawa wa Mwenyekiti, na kwamba amejiapiza kuwafuta kazi pale makao makuu.
Tetesi zinasema sababu kubwa ni kulipa kisasi cha rafiki yake Msigwa ambaye wakati wa uchaguzi wa Kanda alisikika akitoa milio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.