Hivi ndivyo inavyotakiwa kufanya. Ukiwa proactive unamwondoa "adui" yako kwenye reli kirahisi kwani ni vigumu kwake ku predict chochote kwako.... unamuweka kwenye defensive mode na hawezi ku focus tena.
Ni kama Tundu Lissu alivyofanya wakati ule alipowasilisha pingamizi lake NEC dhidi ya...
Kuna kijana mmoja kampeni meneja wa John Pambalu huko Mwanza ana trend Sana YouTube, anasema, " ukitaka kumuua mbwa mpe majina yote mabaya"
Hii Ina maana gani?
Kwangu Mimi, nakubaliana na slogan hii, huwezi kumuua mbwa kwa kumwita majina uyapendayo, utamhurumia, lakini ukimpakaza majina mabaya...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma mgombea wa CCM Dkt.Magufuli amemlaumu na kumshangaa Rais Magufuli kwa kushindwa kuweka ahueni ya...
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je...
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE
===
MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
Huyu mama wa CCM jimbo la Segerea wana CCM wanamzomea kila mahali kwenye mikutano yako jimbo la Segerea. Kila anapopita anapata wakati mgumu mpaka anatamani kulia.
Katika kitu ambacho Kamati Kuu ya CCM ni sikio la kufa ilikuwa kumrudisha Bonah Kamoli Segerea bila kujua alishinda vipi, huyu mama...
Wanajamvi,
Tunao wanasiasa ambao ukiwaangalia unaona kitu ndani yao. Binafsi, namuona John Mnyika Kama mwanasiasa wa upinzani asie na mawaa. I stand to be corrected.
Hatahivyo, Mnyika kwasasa hayuko sehemu sahihi. Pamoja na kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA bado kwa jicho la ndani namuona John akiwa...
Swali fikirishi: Je, kuna mtu timamu kiakili atamchagua John Magufuli kwenya uchaguzi wa 2020 licha ya ugumu wa maisha aliousababisha, onevu kwa wafanyabiashara, kuminya uhuru wa kujieleza na kupata habari, kuminya demokrasia, kuwadhulumu na kuwaonea wakulima na wafanyakazi?
NAHITAJI MAJIBU
Nimepitia kwenye account ya twitter ya John Mrema, kwa hakika anachofanya kimenifanya nistaajabu.
Mrema ni mkurugenzi wa mawasialiano na mambo ya nje wa CHADEMA, hivyo ni mtu ambae yupo supported na chama kwa 100%. Ila hiki anachofanya kimenifanya niwaze mara mbilimbili.
Anataka nusu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.