Unakuta mbongo anaitwa Paul Peter John au Rashid Mohammed Rashid.

Unakuta mbongo anaitwa Paul Peter John au Rashid Mohammed Rashid.

Yaani hapo huwezi kujua ni mbongo au muingereza au muarabu .Je jina la ukoo linwezekana kuwa John au Rashid kwa mbongo? Yaani kwenda kanisani kidogo au msikitini au baada ya kusoma elimu dunia ushaona mtoto hawezi kuitwa Mangungo.
Hapo jina la ukoo linaweza kuwa Kiberiti, Mkate, Mafuta, Msumeno, Changudoa nk hivyo wanayaficha
 
Back
Top Bottom