Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,592
Reaction score
15,404
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
 
View attachment 3693600
Wamngoe kwa nini? Mbona mambo haya Zanzibar huyasikii?
 
Siaasa za Tanzania Bara ni siaasa kutafuta ugali wa mtu. Ukizingia kama huhusiki utavunjwa miguu watu wanakula mapatao
kama lisu, alivyompindua mbowe, mbowe kakasirika kuchukuliwa ugali wake, akajiweka pembeni
 
Hao wnafikiri wakifanya hivyo, labda ndio lissu atakuwa huru au? Lissu ana msimamo wake na hauhusiani na HECHE.
 
Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
View attachment 3693600
Huyu inaelekea ni fala Fulani pumbavu anasaka kiki kwa style ya kiwendawazimu
 
Back
Top Bottom