uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hilda huyu jamani! Hata Mnyika na Nshala hawana map^mbu? Ukimya wa Heche ni sawa na "silence means YES"

    Ukimzoea sana mbwa atakufuata hata msikitini ukisujudu. Uongozi wa sasa wa chadema waliwaamini, kuwaheshimu na kuwategemea sana wanaharakati akina mange, sarungi na hilda. Hata hivyo sasa hivi mbwa wameingia nae kwenye mimbari; hawana mapumbu wote kasoro Heche na lissu. Yaani hata Katibu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CUHAS waelezeni wazazi mabadiliko ya fedha ya usafiri na si kuwatwisha mzigo watoto bila wazazi kuwa na tarifa na ufafanuzi wa mabadiliko

    Nakumbuka baada ya kulipa 650,000 Tsh as administration fee, wazazi tulilipa tena 100,000 Tsh kama fedha ya usafiri. This I guess was OK! Now juzi watoto wamelipishwa tena 48,000Tsh kama fedha ya usafiri! Kulikoni? Tunaomba maelezo au ni upigaji as usual bila uongzi wa chuo kujua...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Falsafa ya 4R ya rais Samia ni jibu la siasa za Tanzania ya leo na kesho

    FALSAFA YA 4R NI JIBU LA SIASA ZA TANZANIA YA LEO NA KESHO Ameandika: Cde Shaka Hamdu Shaka SIASA BILA FALSAFA NI KELELE Kila kiongozi mkubwa duniani anakumbukwa kwa falsafa yake. Kwa Tanzania mfano ulio hai ni Mwalimu Julius K. Nyerere, leo anakumbukwa na amekuwa urithi wetu kutokana na...
  4. Keynez

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema anatukumbusha kuwa ukipata uongozi, kuwa makini na wale wanaoamini walikusaidia kuupata

    John Magufuli baada tu ya kupata urais, alimtupa mbali rafiki yake Charles Kitwanga aliyekuwa amempa uwaziri baada ya kusemekana kuongea bungeni akiwa bwiii. George W. Bush alivyopata tu Urais, alijitenga na rafiki yake wa karibu (jina nimelisahau) aliyekuwa amempa nafasi ya uongozi. Barack...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa unalipa sana , shida uongozi unapobadilika huishi maisha ya kutengwa na aibu mfano wale machawa wa Magufuli wako wapi?

    Chawa ni mtu anayejipendekeza Kwa kiongozi, mwanasiasa mfanyabiashara au kundi fulani Kwa lengo la kunufaika au kupata chochote. Kwa maana rahisi chawa ni kama mwanamke malaya ambaye yupo tayari kufanya chchote ilimradi apate pesa. Shida ni pale anayekutumia anapotimiza malengo yake harafu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya Msimamo: Kwanini Kusimama Peke Yako Ndio Kipimo cha Mwisho cha Uadilifu na Uongozi

    Ndugu zangu wa JamiiForums, salaam, Kuna usemi mzito na usiochuja unaosema: "Ni lazima usimamie kile unachokiamini, na wakati mwingine inakulazimu kusimama pekee yako." Katika ulimwengu wa sasa—iwe ni kwenye siasa, maeneo ya kazi, au hata kwenye jamii zetu za kila siku—shinikizo la kufuata...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sisi tuliookoka tunayaishi maagizo ya Mungu bila unafiki. Hatuwezi kuadhimisha vifo vilivyotokana na kukiuka maagizo ya Mungu (dhambi)

    Bwana Yesu asifiwe sana, Watu wa MUNGU. Sisi walokole hatuwezi kuadhimisha vifo ambavyo vimetokana na kukiuka agizo la Mungu. Mungu ametaja wazi mambo ambayo yanaweza yakatuondolea uhai wetu na kututenga na USO wa Mungu...kwa uchache ambayo ni Uzinzi Kuiba Mali za watu Kutamani Mali/mke wa mtu...
  8. Msemaukwelii

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga

    Kuna malalamiko kuhusu malipo ya walimu tuliosimamia mitihani ya Kidato cha Pili, ambapo tumelipwa nusu ya fedha tulizostahili kulingana na makubaliano ya awali. Tulipohoji na kufuatilia kiasi kilichobaki, tuliambiwa na uongozi kuwa hayo ndiyo malipo yaliyopangwa, licha ya kuwa mkataba wetu...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa CHADEMA wakutana na Balozi Eleanor Sanders

    Oktoba 21, 2026, Ujumbe wa CHADEMA ukiongozwa na Katibu Mkuu wa chama, John Mnyika, ukiwa na Mwanasheria Mkuu, Dk Rugemeleza, na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, umekutana na Balozi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu, Eleanor Sanders pamoja na Balozi wa...
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

    1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law) 2. Uongozi ni mipango maana yake ni...
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kiongozi CHADEMA auza gunia la mahindi, Ampa John Heche siku 10 kuachia uongozi ndani ya Chama.

    Kiongozi wa Chadema Mkoa wa Sumbawanga anae julikana kwa jina la Michael, ameamua kuuza gunia la mahindi ili aweze kupata nauli na kuungana na viongozi wengine wa Chadema mkoani Mbeya kwa lengo la kumng'oa John Heche Madarakani.
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa Serikali kama mlezi, kuchukua hatua za makusudi na kuharakisha mabadiliko ya uongozi TLS.

    Ni wazi, na sote ni mashuhuda wa ombwe la uongozi linaloonekana wazi kabisa kwenye taasisi hiyo ya kitaalamu Tanzania. TLS imeacha misingi na malengo ya kuanzishwa kwake na kutumbukia kwenye mikono ya uongozi wa vibaka wa kisiasa na wanasiasa uchwara, ambao haijulikani wanafanya makusudi au...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito Mawakili Kushikamana, Kusimama Imara Kudai Haki, Heshima na Utu kwa Kusimama na Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi.

    Wanabodi, Hii ni Taarifa muhimu kutoka TLS. Nime C& P TAARIFA KWA UMMA Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tamko la Baraza la Uongozi la TLS dhidi ya dhukuma inayoendezwa dhidi ya Rais wa TLS na kutendewa visivyo kwa Wakili Tundu Lissu

    Baraza la Uongozi la Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) linaendelea kufuatilia kwa ukaribu shauri la maombi namba 4 ya mwaka 2026 lililofunguliwa tarehe 27/5/2026 na Wakili mwenzetu Chacha Mwita Nashon mwenye namba ya uwakili 11554 dhidi ya Rais wa TLS Wakili Boniface A.K. Mwabukusi kwenye...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wote walioukosoa Uongozi wakiwa Man U kilichowakuta walisepeshwa, vipi kuhusu Lisandro Martínez?

    Rúben Amorim: Nimekuja hapa kuwa Meneja wa Manchester United, si kuwa kocha. Kila Idara, ya Kusaka Vipaji, Mkurugenzi wa Michezo, wafanye kazi zao. Nitafanya yangu kwa Miezi 18 iliyosalia." Kilichofuatwa ~ ALIFUKUZWA Cristiano Ronaldo: Wamiliki wa klabu, Familia ya Glazers haijali... Hawajali...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Napendekeza pawepo na sheria ya kuwazuia waliotorosha na kuzificha familia zao ughaibuni, wazuiwe kugombea nafasi za kisiasa ngazi zote nchini Tz.

    Hii itaimarisha uzalendo na uhakika wa usalama wa Taifa letu. Na itasaidia sana kuondoa wagombea na wanasiasa wenye tamaa za madaraka, wanaozurura na tiketi za ndege mifukoni mwao. Lakini pia hii itasaidia kudhibiti utitiri wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ndani ya taifa letu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

    Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi. Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi. Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi. Hawataki awe kiongozi wao...
  19. polokwane

    JamiiForums Tanzania CCM mnagawa tu uongozi sijui ni mkumbo,sifa au mnahisi kuna mnao wakoma mnasahau hao mnao wapa uongozi ni watu wanao simamia mustakabali wa taifa

    Uongozi ndani ya CCM kwa sasa sio vigezo tena nadhan kwa sasa ni mkumbo na uchawa matokeo yake taifa linapoteza kabisa sifa na heshima pamoja na uwajibikaji, nchi inanuka wizi ,rushwa,ubadhirifu na mauaji .
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa madini, tunaomba ufafanuzi kuhusu uhalali wa uongozi wa FEMATA! Ukizingatia kuwa FEMATA haina katiba

    Mheshimiwa Waziri wa Madini, Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA). Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
Back
Top Bottom