Wote walioukosoa Uongozi wakiwa Man U kilichowakuta walisepeshwa, vipi kuhusu Lisandro Martínez?

Wote walioukosoa Uongozi wakiwa Man U kilichowakuta walisepeshwa, vipi kuhusu Lisandro Martínez?

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708

​
Rúben Amorim: Nimekuja hapa kuwa Meneja wa Manchester United, si kuwa kocha. Kila Idara, ya Kusaka Vipaji, Mkurugenzi wa Michezo, wafanye kazi zao. Nitafanya yangu kwa Miezi 18 iliyosalia."

Kilichofuatwa ~ ALIFUKUZWA


Cristiano Ronaldo: Wamiliki wa klabu, Familia ya Glazers haijali... Hawajali kuhusu klabu, kuhusu michezo. Hawajali kuhusu maoni yangu.

Kilichofuatwa ~ MKATABA ULIVUNJWA


Ralf Rangnick: Haina haja ya kuwa na miwani kuona matatizo yalipo, kinachotakiwa ni jinsi ya kutatua, si suala la kufanya oparesheni ndogo au kurembaremba, hii inatakiwa kuwa upasuaji wa kuufungua moyo.

ilichofuatwa ~ MKATABA ULIVUNJWA

Jose Mourinho: Angalia wachezaji walioondoka United msimu uliopita, wako wapi? Wanacheza? Wanachezaje? Ukilijua hilo utaelewa urithi wa soka.

Kilichofuatwa ~ ALIFUKUZWA


Lisandro Martínez: "Mnazungumza kuhusu Meneja na Wachezaji, vipi kuhusu maeneo mengine, nilitarajia zaidi kutoka kwa Mkurugenzi wa Michezo (Jason Wilcox). Huwezi kuwa unabadili makocha mara kwa mara.

Kinachofuata ~ ???


=====================

Rúben Amorim: "No guys, I just want to say that I came here to be the manager of Manchester United, not to be the coach. And every department, the scouting department, the sport director needs to do their job. I will do mine for 18 months and then we move on."

Cristiano Ronaldo: "The owners of the club, they—listen, they don't, the Glazers... They don't care about the club, the sports. They don't really care in my opinion."

Ralf Rangnick: "That it's crystal clear, it's not that difficult. You don't even need glasses to analyse it, to see where the problems are. So now it's only about how do we solve them. And for me it's clear, it's not enough to do some little minor amendment, some little issues here and there, some minor cosmetic things. No, this is—in medicine you would see this is an operation at the open heart."

Lisandro Martínez: "You speak about manager and players, but change other areas!"
 
Back
Top Bottom