Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Oktoba 21, 2026, Ujumbe wa CHADEMA ukiongozwa na Katibu Mkuu wa chama, John Mnyika, ukiwa na Mwanasheria Mkuu, Dk Rugemeleza, na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, umekutana na Balozi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu, Eleanor Sanders pamoja na Balozi wa Uingereza, Marianne Young.
Soma pia: Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania
Katika mazungumzo hayo, ujumbe wa CHADEMA umewasilisha hali ya haki za binadamu nchini, ukiangazia masuala mbalimbali yanayohusu demokrasia, utawala wa sheria na haki za kisiasa.
