instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law)
2. Uongozi ni mipango maana yake ni kupangilia vyema wasaidizi wako na kuangaza utendaji wao wa Kila siku na kuchukua hatua bila kujari watu watasema nini.
Mh. Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan anaongoza nchi kwa utulivu na akili kubwa sana, ana control, plan, organize and coordinating haya mambo yamefanya nchi imekuwa calm na focused kwa kiwango kikubwa sana.
Nchi imekuwa strongly united ndo maana unaona maadui (wanaharakati) wanagonga mwamba kuanzia kwenye jamii hadi kwenye mitandao ya kijamii na mambo yanaenda kwa speed with accuracy.
Mh. RAIS pia ameweza kuimarisha diplomasia kwa kiwango kikubwa sana, nadhani uongozi wa Dr. Samia Suluhu Hassan ni wamfano kwa ulimwengu wa sasa unaohitaji akili zaidi badala ya nguvu.
Pia navutiwa na uongozi wa Mh. RAIS Dr. SSH...vile anavyodeal na migogoro ndani ya nchi na vile alivyounganisha mifumo ya kiusalama, hii pia imeonwa na Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama. mambo yote yanafanywa kwa akili kubwa sana huku Sheria za nchi zikiangazwa ipasavyo, ukivunja Sheria utashughilikiwa kwa Mujibu wa Sheria, hii maana yake utawala wa Sheria upo kwa kiwango kikubwa sana.
My take:
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ametufundisha sisi tunaotarajia kuja kuwa Marais kuwa uongozi ni kuwa na team imara na kuhakikisha inauzalendo kwa Tanzania na watanzania, nasema hivi kwasababu Kila mmoja anaona utumishi uliotukuka wa viongozi wetu kuanzia Mh. Rais mwenyewe Dr. SSH na wasaidizi wake.
Hongereni sana viongozi wetu kwa KAZI nzuri.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mubariki Mh RAIS Dr Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote: AMEN.