Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

Naskia UVCCM huwa mnaitwa kwenye Bendi za polisi mkanengue ili kufurahisha wakubwa😹😹
Wenzako bavicha wanadeki barabara wewe unakata kiono kwenye uzinduzi wa ofisi ya kupanga🤣
 

Attachments

  • download (9).jpeg
    download (9).jpeg
    8.8 KB · Views: 8
Ukiheshimu Sheria mtaani kwako hutamjua hata balozi wa mtaa wako lakini ukivunja tu ndo utawajua viongozi wote.

Nchi ipo mikono salama chini ya Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan huku utekelezaji wa ilani ya CHAMA CHA MAPINDUZI ukiwa wa kas sana tayar kwa maandalizi ya uchaguzi 2029/2030.
Samia sio wala hana uwezo wa akili wa kuwa Dr!.
 
Back
Top Bottom