Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
2,268
Reaction score
7,119
Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi.

Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi.

Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi.

Hawataki awe kiongozi wao...
 
Wanasema hawamoendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi.

Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi.

Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi.

Hawataki awe kiongozi wao...
In fact,
99.9% ni waTanzania,
hakuna wa kubabaika na hiyo porojo ya sijui danganyikeni au danganyika gentleman 🐒
 
Wanasema hawamoendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi.

Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi.

Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi.

Hawataki awe kiongozi wao...
Samuya ni serial killer na Msoga ni mmoja wa wanufaika wakuu wa kila kinachoendelea. Hawa Samuya na Msoga ndiyo waliomuua Jiwe na Imma boy 'wamemuhifadhi' chimbo au labda naye wameshamdedisha, wako tayari kufanya 'lolote' alimradi kila watakacho kiende watakavyo.
Sasa kuna fagia na fagilia zinaendelea kumtengenezea mtu kiti cha 2030.
Watanganyika ni watumwa(watwana).
 
Back
Top Bottom