watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watanganyika waliofariki wakipigana katika Vita Kuu ya Pili

    ..Kuna jitihada za kuwatambua Waafrika / Watanganyika waliopigana ktk Vita Kuu ya Pili, na wale waliopoteza maisha yao. ..Hapa chini kuna majina ya Watanganyika waliopoteza maisha yao ktk vita hiyo...
  2. polokwane

    JamiiForums Tanzania Polisi ndiye mtenda kosa pekee anaye jichunguza mwenyewe na kujiandikia ushahidi mwenywe,Nyerere aliwaweza sana watanganyika

    Polisi ndiye mtenda kosa pekee anaye jichunguza mwenyewe na kujiandikia ushahidi mwenywe,Nyerere aliwaweza sana watanganyika, Mada tayari
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwaka Mmoja tangu Mauaji ya Kimbali ya Watanganyika, Mstaafu JK , kirusi namba Moja cha Usalama wa NCHI na Watanganyika akiwa Kimya

    Kazeee kapo, kanasukuma Kete zake, mwiishoniii Mwanawe kalazimishe Kumpa URAIS. Picha linaanza, Kanasukuma Kete kwa JPM, JPM akaamin ana Wabaya , akaanza Kuteka watu na Makesi ya ovyoovyo.. Mstaafu JK Akacheka. Alivyoona sasa JPM anachukiwa ndani na Nje, akaanzisha Kete ya Kumuondoa JPM Uhai...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taifa linalia, Watanganyika wanaomboleza kimyakimya

    Kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, inaliacha taifa katika vilio vya chini kwa chini kutokana na makovu makubwa ya uvunjifu wa haki za binadamu. Kipindi hiki kinatawaliwa na simanzi nzito, huku jamii ikikumbuka jinsi mazingira ya kisiasa yalivyobadilika na kuwa...
  5. Gobole Lenye Risasi

    JamiiForums Tanzania Kama Samia asingefanya hivi October 29 sasa hivi Watanganyika wangekuwa vile

    Watanganyika wengi waliamini ndo wakati wa kuchukua nchi yao. Wendawazimu kabisa hawa. Waliamini ni wakati wa nchi kumilikiwa na kufaidisha wote. Kama Samia asingeruhusu yale mauaji makubwa toka Tanganyika iundwe nadhani kwa sasa nyie machogo mngekuwa huru na nchi mkitaka kuiendeleza mtakavyo...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina acha kupotosha watu.Hatima ya hii nchi ipo mikononi ya Watanganyika wanaodhurumiwa sio Kikwete.Watanganyika hawamtaki Kikwete na Samia

    Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani Hii haiwezekani. Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanatawaliwa na uongozi wasioutaka na kwao wanasema ni haramu.

    Wanasema hawampendi huyu mkuu wa nchi. Kuanzia watoto wazee mpaka vibibi. Anawatawala kwa lazima sababu tu analindwa na jeshi. Kuanzia bodaboda, wauza mkaa hadi watoto hawampendi. Hawataki awe kiongozi wao...
  8. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusafiri kwenda Zimbabwe kinyemela kumzika mfanyabiashara mwenye utata wa kimaadili inatoa ujumbe gani kwa Watanganyika?

    https://youtu.be/Zw1pnTKVPKo?si=Q8pUyv0DyV4tfbPh Tuanzie kwa kujiuliza maswali haya: 1. Kuna nini kati ya familia ya Samia na mfanyabiashara huyu Mzimbambwe mtata na mtovu wa maadili ya kibiashara? 2. Kwanini Rais wetu huyu (hata kama yupo hapo kiharamia) ajihusishe na mtu huyu na kumpa...
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Chivayo umejua kutuliza Watanganyika

    Mwamba umeenda na pesa zetu bila kuaga. Why? Peter Msechu upo wapi?
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika, tuwe wakweli ma tuweke siasa pembeni! Nani anayefaa kuwa Rais kati ya hawa wawili?

    Naomba mpige kura! Wote wana Phd za darasani!
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania 6/11/2026 ni hukumu ya Lissu, Watanganyika, siku hiyo tujitokeze kwa wingi sana kwa ajili ya Kuandamana kupinga/Kufurahia Hukumu !Asibaki ndani Mtu

    Ni Hukumu ya Kihistori Kati ya UOVU na WEMA.!!
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ile dhana kuwa CHADEMA ni chama cha waChaga na watu wa Kaskazini imetoweka. Kimekubalika kama kama chama cha Watanganyika

    Tembelea anga zote za Tanganyika Chadema inakubalika kama chama ambacho kinaenda kuiondoa CCM ya mafisadi chini ya Samia na Kikwete ambao hawakuchaguliwa na wananchi. Chadema chini ya Lissu na Heche kama viongozi ni mali ya Watanganyika wasiotaka utawawala wa vibaraka wa kiarabu.
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Twende mbele, turudi nyuma, watanganyika tunazalauliwa mno, mbona sie ndo twatekwa, twapotezwa kwao hata kunguni haikuwahi tekwa?

    Mama Dr Samia suluhu Hassano, nina tumah u mzima wa Afya, na umemaliza Eda ya kifo cha mumeo salama salimini. Nina uhakika mwenyezi Mungu Baba Wa Mbinguni atakuwa amepokea dua zako ulizokuwa unamwombea Mumeo. Dr Samia suluhu Hassani mimi ni mtanganyika, mkazi wa kanyigo, jumapili ya leo...
  14. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania WITO: Watanganyika Tusikubali Kumpoteza Humphrey Polepole, LAZIMA TULIPE KISASI

    Nadhani kama ni muda wamepata muda wakutosha, wasipimrudisha basi siku ya uzinduzi wa AFCON tuitimie kwa maandamano ya amani ya kumdai. Pia tutafute ili kubaini wahusika wote ili nao washughulikiwe kwa sheria za jadi.
  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanganyika Tunachukiana kiasi hiki?

    Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au waziri yoyote, unadhani Zanzibar pangekalika? Leave alone ukweli kuwa hawezi kufanya hivyo ila je...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tafiti zaonyesha Watanganyika na Wazanzibari hawautaki Muungano. Kura zipigwe upya ili wananchi waamue kuuvunja au ubakie

    Wananchi wanatakiwa kuamua kama Muungano unawafaa au haufai. Wazanzibari wanasema unanyonya kiasi hata cha kutokuwa na uanachama Un na Caf. Watanganyika wanalalamika kuwa taifa lao limemezwa. Wazanzibar wanawanyonya kwa kutumia rasilimali zao. Suluhu ni kuitishwa kwa kura ili wananchi waamue...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Unyanyapaa Kwa Watanganyika waliorudishwa kutoka South Africa ni tendo la kipumbavu

    Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania wazanzibari wengi wanaishi Bara lakini sheria za muungano zinawabeba kurahisisha maisha yao kuzidi watanganyika wanaoishi nao.

    Unamkuta Mzanzibari amehamia huku Bara, watoto wake wanasoma shule hizi hizi, wanatumia hospitali hizi hizi na wanakua katika mazingira haya haya pamoja na watoto wa Tanganyika / Bara. Lakini kuna wakati maisha yanapofika kwenye fursa, uraia na umiliki, tofauti inaanza kuonekana. Mtoto wako na...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CDF ,IGP, DPP jiandaeni kujibu Aliyeua Watanganyika Oktoba 29 2025 ni nani? Na Nani aliwapa Order ya Kuua Watanganyika Oktoba 29!

    Ya Oktoba 29 2025, Mtayajibu tu!!. Kama Lissu kayauliza kwa Mashahidi wa Jamhuri , kayagusia kwa Mashahidi wa Utetezi!!. Jiandaeni kutujibu Watanganyika, Ni nani aliwaua Watanganyika wenzetu Oktoba 29!!.
  20. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mbona Nchimbi hauliziwi alipo ? Je watanganyika hawampendi?

    Sioni sauti ikipazwa au chochote kikizungumzwa kuhusu nchimbi. Jamaa amepotea kama kuku na hakuna anayejali wala kunyanyua mdomo wake kuhoji alipo. Huu ni usaliti wa hali ya juu watanganyika wamemuonesha nchimbi.
Back
Top Bottom