PostGE2025 Mwaka Mmoja tangu Mauaji ya Kimbali ya Watanganyika, Mstaafu JK , kirusi namba Moja cha Usalama wa NCHI na Watanganyika akiwa Kimya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kazeee kapo, kanasukuma Kete zake, mwiishoniii Mwanawe kalazimishe Kumpa URAIS.

Picha linaanza, Kanasukuma Kete kwa JPM, JPM akaamin ana Wabaya , akaanza Kuteka watu na Makesi ya ovyoovyo.. Mstaafu JK Akacheka.

Alivyoona sasa JPM anachukiwa ndani na Nje, akaanzisha Kete ya Kumuondoa JPM Uhai wake AKIJUA watu watasema ni 'Mabeberu'. Akafanikiwa.

SSH anakua Rais, Kikatiba JK Hana namna ya kukuweka Mwanawe hapo . Mstaafu anatulia Kusoma.

SSH anashika NCHI, Mstaafu kwanza anaanzisha vita yakumfanya SSH aamini watu wa JPM ni Wabaya... ( Sukuma Gang). ...akafanikiwa.

Mstaafu akaona sasa hapa , ni lazima SSH ama ajichafue mwenyewe au achafuliwe mara paaaaap Utekaji ukaanza, Mauaji yakashamiri, Kesi za ovyoovyo, NCHI ikachangangikiwa, akiamini SSH angeachia 2025 , SSH akanogoewa, akagoma , Mstaafu akampitisha kugombea, huku akisoma Ramani !!.

Safari ikatufikisha Oktoba 29, 2025, zaidi ya Watanganyika Elfu Kumi wakauwawa kinyama !!.

Mstaafu yupo kimya, akisukuma Kete yake, Safari hiii ni kweli atafankiwa kile alichokifanya kwa JPM, ila hatofanikiwa Kumpachika Mtu wake URAIS.
 
ungeweka na evidence at least vinginevyo ni vijichuki vya mange na maria umevikumbatia.
 
JK ni adui wa Watanganyika
 
Noma sana.
Nadhani neno sahihi yalikuwa "mauaji ya halaiki" siyo ya kimbari.
P.s. mauaji ya kimbari hulenga kulifuta kundi fulani katika jamii mfano kabila fulani au watu wenye itikadi fulani. Yetu yalikuwa mauaji holela holela yasiyo na macho .
 
Kazeee kapo, kanasukuma Kete zake, mwiishoniii Mwanawe kalazimishe Kumpa URAIS.

Picha linaanza, Kanasukuma Kete kwa JPM, JPM akaamin ana Wabaya , akaanza Kuteka watu na Makesi ya ovyoovyo.. Mstaafu JK Akacheka.

Alivyoona sasa JPM anachukiwa ndani na Nje, akaanzisha Kete ya Kumuondoa JPM Uhai wake AKIJUA watu watasema ni 'Mabeberu'. Akafanikiwa.

SSH anakua Rais, Kikatiba JK Hana namna ya kukuweka Mwanawe hapo . Mstaafu anatulia Kusoma.

SSH anashika NCHI, Mstaafu kwanza anaanzisha vita yakumfanya SSH aamini watu wa JPM ni Wabaya... ( Sukuma Gang). ...akafanikiwa.

Mstaafu akaona sasa hapa , ni lazima SSH ama ajichafue mwenyewe au achafuliwe mara paaaaap Utekaji ukaanza, Mauaji yakashamiri, Kesi za ovyoovyo, NCHI ikachangangikiwa, akiamini SSH angeachia 2025 , SSH akanogoewa, akagoma , Mstaafu akampitisha kugombea, huku akisoma Ramani !!.

Safari ikatufikisha Oktoba 29, 2025, zaidi ya Watanganyika Elfu Kumi wakauwawa kinyama !!.

Mstaafu yupo kimya, akisukuma Kete yake, Safari hiii ni kweli atafankiwa kile alichokifanya kwa JPM, ila hatofanikiwa Kumpachika Mtu wake URAIS.
Mzee mnafiki sana yule yaliotokea tanzania kama hajaona ila dunia haikataa isahau ni swala la muda wote watashikwa tu na watahukumiwa sawa na matendo yao
 
Kazeee kapo, kanasukuma Kete zake, mwiishoniii Mwanawe kalazimishe Kumpa URAIS.

Picha linaanza, Kanasukuma Kete kwa JPM, JPM akaamin ana Wabaya , akaanza Kuteka watu na Makesi ya ovyoovyo.. Mstaafu JK Akacheka.

Alivyoona sasa JPM anachukiwa ndani na Nje, akaanzisha Kete ya Kumuondoa JPM Uhai wake AKIJUA watu watasema ni 'Mabeberu'. Akafanikiwa.

SSH anakua Rais, Kikatiba JK Hana namna ya kukuweka Mwanawe hapo . Mstaafu anatulia Kusoma.

SSH anashika NCHI, Mstaafu kwanza anaanzisha vita yakumfanya SSH aamini watu wa JPM ni Wabaya... ( Sukuma Gang). ...akafanikiwa.

Mstaafu akaona sasa hapa , ni lazima SSH ama ajichafue mwenyewe au achafuliwe mara paaaaap Utekaji ukaanza, Mauaji yakashamiri, Kesi za ovyoovyo, NCHI ikachangangikiwa, akiamini SSH angeachia 2025 , SSH akanogoewa, akagoma , Mstaafu akampitisha kugombea, huku akisoma Ramani !!.

Safari ikatufikisha Oktoba 29, 2025, zaidi ya Watanganyika Elfu Kumi wakauwawa kinyama !!.

Mstaafu yupo kimya, akisukuma Kete yake, Safari hiii ni kweli atafankiwa kile alichokifanya kwa JPM, ila hatofanikiwa Kumpachika Mtu wake URAIS.
nonsense 🐒
 
Kaazi kwelikweli,Karibu Msoga tunywe maziwa...
 
Back
Top Bottom