ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Binafsi nalaani unyanyapaa na roho mbaya Kwa wenzetu waliotoka South Africa
Hii inaonyesha ni namna Gani Watanzania wana tatizo la kufurahia anguko la wenzao
Tukumbuke hawa wenzetu walijaribu kwenda kusaka maisha lakini kinyume na matarajio Yao waliangukia pia, sio busara kuwazodoa mtandaoni
Kubeza muonekano, kuwaona vibaka, kuwanyima makazi, fursa n.k katika Taifa lao ni jambo la unyanyapaa na kuwaumiza
Unyanyapaa umeanzishwa na serikali, haikuwa busara kumrudisha mtu aliyetoka nchini zaidi ya miaka 20 na ukamtelekeza airport ambaye hana hata nauli ya daladala,hujui ataanzia wapi, hana mtaji, hana makazi, hana ramani yoyote hiyo ni hekima kweli?
Jamii ya Watanganyika hii tabia na vitendo hekima
Hawa wakiwa nje mnaomba pesa na wanatuma
Wengine wanatuma pesa muwajengee nyumba na biashara mnawadhurumu wakifika mnazima simu na kuanzia kuwazodoa na kuwadhalilisha.
Jivike uhusika kama wewe ndo ungetokea Ughaibuni halafu ufanyiwe upumbavu kama huo