africa

  1. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Kama chimbuko la watu lipo africa ina maanisha sisi ngozi nyeusi tuli-stuck katika evolution ndio maana wengi tunafanana sokwe na akili finyu

    Akili zetu tunazijua sisi ngozi nyeusi, kuna hakiko sawa. Katika kubadirika kutoka kwa yale masokwe kuna kitu kilitokea tukabaki katika steji ya ukuaji wa kimaumbile ,personallity na akili.
  2. bahati93

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa democracy haufai kwa Africa

    Ndugu zangu tuzinduke kwenye huu usingizi mzito, tumeshalala kwa kipindi kirefu sana sasa ni muda sahihi wa kuvuta shuka na kutupilia mbali Fikra na Tamaduni zote zilizotokana na Wazungu. Tuanze mwanzo kila kitu kiwe chetu. Kitu cha kwanza kuking'oa kiwe mfumo wetu wa Utawala huu mfumo wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao

    Inaumiza sana kuona wa Africa wanatetea dini kuliko rasilimali zao, hata baada ya kuwafukuza wakoloni Africa bado tunawapelekea wakoloni hao hao rasilimali fedha ambazo tunachangishana makanisan sadaka na misikitini (hija fee). Yaani hela zetu zinawafikia wakoloni wakiwa wamekaa, mtaji wao ni...
  4. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania imeanza kuzuiliwa kuingia na VISA on arrival kwa baadhi ya nchi za Africa e.g Madagascar

    Habari wanabodi!! Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani. Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar. Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Abductions and Killings of Activists in East Africa Raise Questions About a New Liberation Movement

    The disappearance of Twaha Mwaipaya in Kenya, the killing of Robert Kabera in Uganda, the treason case against John Pambalu, and allegations of sexual torture against Boniface Mwangi and Agather Atuhaire in Tanzania are fuelling debate about the future of democracy, freedom and solidarity among...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kusoma shule za umma Tanzania ni mateso ?

    Wanafunzi wanaoshangilia kumaliza shule kama wendawazimu wehu mpaka wanatukana hovyo inawezekana pia ni dalili ya kwamba kusoma shule za umma ni mateso na wengi wanaosoma huko hawafurahi wala hawapendi ila wanalazimishwa tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Art of politics in Africa: bana pesa na miradi ili wananchi waone maendeleo ni fadhila sio haki yao, kisha wabaki wanyenyekevu kwa viongozi na mamlaka

    Nimeikuta hii video random mtandaoni, ukikaa na kui analyze kwa upana ni nchi nyingi za Africa jamii inayolazimika kuomba, kushukuru na kunyenyekea ili iweze kuishi Tunasikia kauli kama “Mradi wangu,” “Nitatoa pesa,” “Nitaleta maendeleo,” na “Mimi ndiye niliyesaidia.” Tunaomba kwa...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum

    East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum. In erstwhile epochs, Kenya and Tanzania could have been accorded superlative commendation as places of refuge. However, in recent times, their conduct has become utterly contemptible yonder in the...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu hana record yoyote ya kuaminika kwamba ni mtetezi wa haki za binadamu iwe ni kwao Singida, Tanzania, Africa au kokote duniani.

    Na kwahivyo, hakustahili hata kuorodheshwa tu miongoni mwa watetezi wa haki za binadamu wa kuwania tuzo ya haki za binadamu ya kimataifa ya SHAKHAROV. Zaidi ya yeye tundu lisu kua mkiuka haki za binadamu na katiba ya nchi yake, kama kuna mdau yeyote wa heshima wa JF mwenye ushahidi wa records...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna timu yeyote Barani Africa inayotamani kukutana na hii Simba ya Steve Barker

    Nimeutazama huu moto wa timu ya Simba sc ulionao sasa, nikiri wazi kuwa hakuna timu barani afrika inayotamani kukutana na hii Simba sc. Mpaka sasa tumeshafuzu makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Na ndoto na Shauku yetu kuutwaa huu ubingwa na kuweka historia kuwa timu ya kwanza Afrika...
  12. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania America please msituache Afrika tuangamie na Ebola

    America please msituache tuangamie na Ebola, Ewe rais Donald Trump fanya zaidi ya kile alichofanya Obama mwaka 2014 alipoudhibiti mlipuko wa Ebola huko Liberia. Sisi bado ni watoto kwenu ata kama tumepishana kauli bado tunakumbuka hisani zenu, mlitutoa Utumwani, mkatufungulia dunia kwa...
  14. min -me

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaamini haya magari ya kutembelea ya mchina yanayokuja Africa?

    Gari ya nifa , ya mchina haina mda( jokes).😆😆😆 ila kwa voice within me Pascal Mayalla naiona kama ni nzuri kwa muonekano ila haina ubora 🤔 Wachina kwa kuzalisha vitu kwa ajili ya Afrika ,vyenye ubora unaotakiwa sina imani nao kabisa. Kama hizi basi ndio bure kabisa, kila siku zinawaka...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Trump awalaumu Waislam kwa Machufuko huko Paris, Ufaransa

    Kumekuwa na wimbi kubwa la Waarabu, Waafrika na Wahindi kuingia Ulaya kwa njia haramu. Ambapo katika rate ya uzao nchini Ufaransa, wazawa wakiwa na ratio ya asilimia 1.8 huku Waislamu pekee wakizaliana kufikia hadi ratio ya 8.1%. Hii imeibua maswali mengi baada ya maandamano kuendelea huko...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  18. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Je kwa yanayotokea Ufaransa na Italy Kuna haja kuwalaumu South Africa kufukuza na kupinga wahamiaji!?

    Dunia inashuhudia namna mapokezi ya kibidamu yanavyoweza kugeuka na kuwa siraha Kali yenye kuharibu Wahamiaji waliopokelewa kwa ishara ya wema na ubinadam Leo inawagharimu wazungu wa Ufaransa na Italy Je afrika kusini walichukua hatua stahiki kuwafurumusha wahamiaji kutoka nchini mwao hususani...
  19. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Tanzania inashika nafasi ya 12 kwa uchumi barani Africa

    Tanzania imeendelea kuporomoka katika nafasi ya kiuchumi kutoka nafasi ya 9 mwaka 2022 kwenda nafasi ya 11 mwaka 2024 hadi nafasi ya 12 mwaka 2026 kwa ukubwa wa uchumi barani Afrika. Chanzo: IMF – World Economic Outlook, Aprili 2026. Natamani kuona tukirudi tena top 10 maana hadi DRC...
  20. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Kama jukumu la Jumuia ya Africa mashariki ni kulinda ustawi wa nchi wanachama hakuna haja ya kufichiana waharifu Kenya rudisheni Tanzania hao waharifu

    Sidhani kama Rwanda inaweza kuhifadhi waharifu mfano wa akina sativa, maria Sarungi, Hilda newton ndani ya EAC. Pia sidhani kama Tanzania inaweza kuhifadhi waharifu kutoka nchi ndani ya EAC KWANINI KENYA? ikumbukwe kuwa mwaka 1977 EAC ilikufa chanzo walikuwa ni wakenya. Tuache kufichiana...
Back
Top Bottom