Serikali nyingi za Afrika, ikiwemo Tanzania, zimekuwa vibaraka wa mataifa ya nje, hali ambayo inachangia kung’ang’ania madaraka, chaguzi zisizo huru, na ulinzi wa kimataifa kwa tawala za kidikteta. Hii ni sehemu ya mfumo mkubwa wa kisiasa na kiuchumi unaodumaza bara la Afrika, unaoendeshwa na...
Kwanza nimpongeze Hon. D. Trump kwaujasili wa kuiondoa USA katik ufadhili wa WHO. Binafsi naona kama anania ya kufikirisha akili za viongozi wa nchi masikini kutumia vizuri makusanyo yao ya ndani badala ya kununua samani na magari ya kifahari.
Pia, nifulsa kwa raia wenye akili bunifu katika...
Nimechagua kua upande wa kagame kwa kua na sifa zote za kiongozi bora anazo loyal kwa watu wake wa Rwanda anaiweka rwanda kwanza na watu wake hutu and tuts na sio maslahi binafsi
Intelligence, ni baba wa ujasusi east and central Africa , labda kidogo yeriko ndo ata mfikia( jokes)
Kiongozi anae...
Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 .
Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana
Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa.
Hii ni kutoka X (Twitter)
I held two conversations this week with President Ramaphosa on the situation in Eastern DRC, including earlier today. What has been said about these...
africa
afrika kusini
cyril ramaphosa
kikao
kutaka
kutangaza
m23
m23 wavamia kongo
mgogoro kongo
mzaha
nguvu
paul kagame
rwanda
sadc
south africa
usiku
vita
Haina haja ya salamu. Tunaoweza kiinglish tu ndo tutaelewa hapa. Wale wenzangu na mimi tuliokomea madrasa tu hatukufika Sekondari na Chuo... Huu uzi tutaupita kama tunaaga maiti. Kagame amesema hawa viongozi wasijifanye hawajui. Wanajua sana. Kashasema sasa na amekaa pale. 👉 Haka kajamaa...
Leo nataka tujadili maana naona nchi za Africa zinamuogopa huyu jamaa au ndio mbabe wao maana nasikia jamaa akikoroma kidogo tu nchi nyingine zinatetemeka halafu nchi yake ni kama Israel ni ndogo ila haigusiki kijeshi mnaojua huyu jamaa anajiamini nini maana nchi yake ni ndogo au ndio anataka...
Kagame anajiamini anajua anachofanya. Kumwambia SA kuwa "ukitaka kupigana njoo...... " Anajua kuwa SA. hawana jeshi lenye nidhamu na pia hawaifahamu Congo na Misitu yake. Huwezi pigana na Kagame katika misitu ya Congo atakuchapa. Anaifahamu vizuri.
Labda sasa mpigane kwa kurushiana mabomu tu...
Wakuu,
Kama utakuwa umefatilia speech za huyu mzee utakuwa umegundua kitu.
-Anaongea kwa masihara lakini ujumbe unaokuwepo ni mzito na unaleta sense.
📌Sikia akiongelea mgogoro wa waarabu wa Sudan
📌Akiongea kuhusu ukabila uganda
📌
Yaan unacheka lakini ujumbe pia unafika
NB: Mimi si shabiki...
Huyo anaeitwa adui baada ya kusitisha misaada bajeti imeyumba, ina maada rafiki yetu wa dhati Mchina alikuwa anachangia matone ? 😓😓
Mchina rafiki yetu ana mpango gani baada ya adui kusitisha msaada, mbona kimya sana ni kwamba hasikii vilio kutoka Africa ?
Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma.
Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni kama alifunga ukurasa huu walikuwa wanaweza hata kuitisha kikao cha pande zinazogombana, zinazopigana...
Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba ungeweza kufikiri aliifanya Libya sawa na peponi ila uhalisia ulikuwa ni tofauti kabisa, alipewa...
https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg
Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80%
Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa Kitaifa kuhusu Nishati akiwa kwenye Mkutano Nishati wa wakuu wa Nchi za Afrika, Rais wa Jamhuri ya...
Tumeona marais wa Kiafrika wakienda Ulaya/marekani wanakwenda na kundi kubwa la watu. Wanakwenda kutalii, kufanya shopping and the like.... wamepata nafasi ya kutalii.
Je Mkutano unaoendela Dar, entourage zao zikoje? Wameambatana na watu wangapi, just by casual observation kwa mlio Dar?
Au kwa...
1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana.
3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
Mjadala:
Kuelekea Mission 300 Africa Energy Summit inayo fanyika 27 - 28 January 2025
Tutumie Vyanzo Vipi Vya Nishati, Mbinu na Mikakati ipi ili Tuzalishe Umeme Mwingi na wa Uhakika katika Bara la Afrika.
Hapo kuna mambo kadhaa yanahitaji kujadiliwa kwa kina:
Tutumie vyanzo vipi vya nishati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.