africa

  1. El uno

    Msaada wa nakala laini(soft copy) ya kitabu kiitwacho, Practical Geography for Africa

    Wakuu nawasalimu, Mwenye nakala laini ya kitabu kiitwacho Practical Geography for Africa by John M. Pritchard anisaidie.Wenu katika elimu.
  2. Miss Zomboko

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yapinga Adhabu ya Kifo kuendelea kutolewa Tanzania

    Kwa mara nyingine Tena, Mahakama ya Africa ya Haki za Binaadamu (African Union Court of Human and People's Rights) imetoa tamko juu ya adhabu ya kifo iliyopo kwenye sheria za makosa ya jinai ya Tanzania. Tamko hili limetolewa June 2023 wakati wakifanya mapitio ya kesi ya Bwana Thomas Mwingira...
  3. A

    Mizimu ya Afrika inatushangaa waafrica

    Moja ya jambo la ajabu so TANZANIA bali takribani mataifa Yote ya Africa, somo la kiingeleza yaani English ni compulsory ilhali somo la kilimo yaani agriculture ni option. Hivi sisi wa Afrika nani alieturoga. Mizimu inaumia sana inap ona hivi vituko.
  4. A

    Ee Afrika! Nakuita bara tukufu lenye watu wabinafsi sana

    Afrika ni wewe uliepewa madini kama dhahabu, almasi, chuma na vito vingi vya thamani. Ni wewe Afrika uliebarikiwa misitu yenye uwezo wa kuzalisha mbao bora lakini ajabu hadi sasa watoto wanakosa madawati shuleni. Afrika ni wewe uliebarikiwa mafuta na ges lakini bado uhakika wa umeme ni tabu...
  5. GoldDhahabu

    Milioni 20 inatosha gari Afrika Kusini?

    Heshima zenu wakuu! Nimesoma nyuzi kadhaa humu za magari ya South nikajiridhisha kuwa S. A. ni kati ya maeneo sahihi kuchukulia gari, hasa kama unataka kulifuata mwenyewe huko. Naombeni ushauri! Kwa bajeti ya milioni 20, naweza kupata gari dogo kutoka South kwa ajili ya kutumia kwenye...
  6. PakiJinja

    Mkimbizi wa kitanzania kutoka Ukrain kurudishwa Afrika

    Zimedondoka kutoka huko Udachi kuwa mwamba ni miongoni mwa wakimbizi Jero kati ya buku mbili na jiti tatu waliokimbia vita nchini Ukraine. Hawa jero hawana vinyago vya Ukraine, yaani ni raia kutoka nchi nyingine ambao mambo yaliposanuka huko Ukraine, wakaona hii ni golden chance, harudi mtu...
  7. Kamanda Asiyechoka

    Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

    Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda. Hapa bongo leo imetoka kauli tata. Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa. Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
  8. William Mshumbusi

    Baada ya Mo kumwaga mihela nyuma na kuifanya Simba kuingia Ligi ya Africa Sasa ni kama uongozi haumtaki ili upige mihela ya Africa

    Mo ategemee kabisa kuwekewa vikwazo vya kutosha ili aiache timu viongozi wafaidi maokoto kutoka Africa. Hii inaitwa unahangaika wee kufunga Nyati miguu, mdomo anatulia tuli Alafu ukimaliza wajinga wanakuwahi wanakufunga wewe pia Alafu wanaanza kumkamua maziwa.
  9. kavulata

    Ufaransa kuivamia Niger itakuwa ni habari mbaya sana kwa Afrika

    Waafrika walikuwa na mashaka na viongozi wao kama kweli ni viongozi kwaajili ya watu wao au wako kwaajili Yao na mabeberu. Wana makasha kama viongozi wao wanajali maslahi yao wananchi au maslahi ya mabeberu. Kama Ufaransa itaipiga Niger kwasababu ya wanaiger kumkataa kiongozi wao asiyewanuisha...
  10. bongo dili

    Kiwango cha ujinga kimeongezeka sana Afrika, chanzo ni mitandao ya kijamii

    Ujio wa social media vijana wa Africa wanautumia in negative way tofaut na vijana wa mataifa mengine ili kupiga hatua za kimaendeleo. Yanayoendelea kwenye media hayana uhai kwa kesho ya Africa. Watu mengi ni uharibifu na uchafu tu wa akili kujaza saver ya akili uchafu tu ambao haujengi fikra...
  11. Moshi25

    Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  12. Zacht

    Kilichopo nyuma ya mzozo wa Niger vs ECOWAS, EU na Nigeria

    Kama ulikuwa unajiuliza Kwanini UN,EU ,NATO, Nigeria na Marekani zipo so aggressive kwa kile kinacho endelea west Africa hasa Niger ngoja sasa nikuambie kwa ufupi. Baada ya mzozo wa Ukraine na Russia nadhan utakuwa unakumbuka EU iliweka vikwazo vya kutonunua gesi ya mrusi , lakini baadae...
  13. Bondpost

    Africa should neither shift to the new colonial masters nor stay with the old ones. (A Russian move case study)

    By Bondpost, Africa imekuwa na watu wenye fikra tegemezi miaka yote hata hii move ya Waafrika kushabikia China, Russia na North Korea ni sehemu ya muendelezo wa fikra temegemzi. Africans wamefikia sehemu hawawezi kuwa na fikra zao huru na wakajiongoza wenyewe kisiasa, kijamii, kiteknolojia...
  14. Pang Fung Mi

    Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  15. U

    The finish of Western authority in Africa

    France's situation on the African landmass has disintegrated essentially as of late, and it has lost a considerable lot of the regions it colonized there for a long time. Western nations, especially France, use security flimsiness to keep up with their tactical presence on the landmass, and...
  16. M

    Afrika tunapaswa kubadilisha makanisa na misikiti kuwa viwanda

    Kitu cha kwanza kinachofunga akili na kudumaza jitihada za maendeleo ya mtu mweusi ni imani( za dini na uchawi). Imani haiwezi jenga barabara, jenga hospital, tengeneza gari, Leta siasa safi wa haiwezi ondoa ufisadi n.k Na huu ugonjwa wa dini au imani unatumiwa sana na washindani wetu ili...
  17. Mto Songwe

    Je, hiki anacho fanya Russia ni kisasi dhidi ya wale wanao muunga mkono Ukraine hasa Ufaransa?

    Kwa wale wafuasi wa magharibi na baadhi ya wachambuzi wanajaribu kuweka mitazamo yao kuhusu hali aliyonayo Russia pale Ukraine Wengi wamekuwa wakisema Urusi ana hali ngumu na anajaribu kupoteza kila siku, lakini pia tujiulize je vipi kuhusu hali walizonazo zile nchi zinazo toa support kwa...
Back
Top Bottom