East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum

East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum.

In erstwhile epochs, Kenya and Tanzania could have been accorded superlative commendation as places of refuge. However, in recent times, their conduct has become utterly contemptible yonder in the land of ZAKAYO! And on this side, in KIZIMKAZI, Uganda is under the dominion of MSEVEN, whilst Rwanda is under ENKOITANYI!

Place not excessive credence in the state authorities of those nations.

The constabulary of Tanzania brazenly incurs into Kenyan territory to collaborate with malefactors, while contemporaneously, even their Kenyan counterparts operate in concert within Tanzania.

Free MWAIPAYA.

Britanicca
 
Hapafai kabisa hapa.
Mazingira si rafiki kabisa.
Mazingira ni Magumu mno kuelekea 29 October.

Kenya kuna Uchaguzi Mwakani. Augut 10 2027
Hawa watu wanasaidiana kwa Sasa. Ili kujilinda kwenye CHAGUZI.

Katika wote hakuna aliyeniuma kama Twaha.
CHADEMA wapo kimya hadi sasa!!!!!!
 
East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum.
Huu hapa Chini ni wimbo wa Jumuiya ya Africa Mashariki. Kama unajua huu wimbo upo na unaimbwa kwenye nchi zote, hutakiwi kushangaa.
===
Ee Mungu twaomba ulinde
Jumuiya Afrika Mashariki
Tuwezeshe kuishi kwa amani
Tutimize na malengo yetu

Chorus:
Jumuiya Yetu sote tuilinde
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu

Uzalendo pia mshikamano
Viwe msingi wa Umoja wetu
Natulinde Uhuru na Amani
Mila zetu na desturi zetu

Chorus

Viwandani na hata mashambani
Tufanye kazi sote kwa makini
Tujitoe kwa hali na mali
Tuijenge Jumuiya bora
 
Wote ni theme Moja
 
Wale walio kua wanawasiliana na mwaipaya naona tumbo joto.Kua mwanaharakati kwenye nchi za black mambas ni sawa na kifo
 
East Africa no longer constitutes a tenable sanctuary for those in pursuit of political asylum.

In erstwhile epochs, Kenya and Tanzania could have been accorded superlative commendation as places of refuge. However, in recent times, their conduct has become utterly contemptible yonder in the land of ZAKAYO! And on this side, in KIZIMKAZI, Uganda is under the dominion of MSEVEN, whilst Rwanda is under ENKOITANYI!

Place not excessive credence in the state authorities of those nations.

The constabulary of Tanzania brazenly incurs into Kenyan territory to collaborate with malefactors, while contemporaneously, even their Kenyan counterparts operate in concert within Tanzania.

Free MWAIPAYA.

Britanicca
Mwamba

Kama ni noble cause, why ukimbie nchi
 
One of the recent developments in addition to any developments is calls for stronger regional cooperation in areas such as security. So they use this loophole to integrate everything including using rogue organs and apparatus.

So now member states have close collaboration regarding this area and it could be the driver towards these abductions of East Africa citizens.

Passport is one source of information regarding who enters which territory within the region and where they are because now we have e-gates and other things.

So, the only solution for activists is to go beyond our regional borders such as Hungary and other places where they have no such practices.

Nairobi Taxis

You have to be careful when you book for taxis especially when you make online booking. This will attract attention and will make it easy for the abductors to track you.

Apps such as Taxio and Talixo are easy to track so always try something like Kenatco Taxi Limited who offer long journey trips, although this will also attract attention.

Donald Trump was not wrong when he spat that word shithole countries, we are so shit.
 
Back
Top Bottom