Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Habari wanabodi!!
Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani.
Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar.
Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na visa on arrival but kuanzia mwezi huu wa 10 imekua lazima uombe visa kabla.
Na za ndani ni sababu ya usalama. Kumekua na wimbi la watanzania kuingia Madagascar kwa kutumia makampuni ya wachina na kufanya biashara haramu.
Nchi nyingine ni ya west Afrika.
Je shida ni nini? Ni wanafanya reciprocal au kuna jambo linaendelea sisi hatujui? Hii inatunyima fursa za kiuchumi wabongo....