kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO UDART mnawaza nini? Abiria tunateseka na kuingia hasara kwa kusubiria Mwendokasi muda mrefu

    Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (UDART) inayotoa huduma za usafiri wa umma kupitia barabara ya Morogoro Road, kuanzia Mbezi Luis na kituo kikuu cha Kimara kuelekea maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam, ikiwemo Kariakoo (Gerezani) na Kivukoni, imekuwa ikikabiliwa na changamoto ya...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  3. Mhandisi Mzalendo

    JamiiForums Tanzania Passport ya Tanzania imeanza kuzuiliwa kuingia na VISA on arrival kwa baadhi ya nchi za Africa e.g Madagascar

    Habari wanabodi!! Naleta taarifa hii ili mamlaka zinazohusika waweze kutolea ufafanuzi nini kinaendelea huko ndani. Baadhi ya nchi za Afrika wameanza kuzuia watanzania kuingia na VISA on arrival. Nina uhakika wa asilimia 100 kwa nchi mbili e.g Madagascar. Kwa Madagasca ilikua ni kuingia na...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU HAJAGOMA KULA NA HAKUNA WAKILI WAKE ALIYEZUIWA KUINGIA GEREZANI

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Wazuia Waandamanaji Kuingia CBD Nairobi Katika Maandamano ya Kupinga Bei ya Mafuta

    Polisi wamejaribu kuzuia baadhi ya waandamanaji kuingia katika eneo la biashara la katikati ya jiji la Nairobi (CBD) leo Jumatatu, Oktoba 26, 2026, huku mvutano ukishuhudiwa barabarani. Video iliyorekodiwa jijini inaonyesha baadhi ya waandamanaji wakikabiliana na maafisa wa polisi katika kile...
  6. rich1

    JamiiForums Tanzania Mount meru hospital Arusha naomba muwe serous na majibu yawagonjwa,,Yan madaktar wana kaz ya kuingia na kutoka kama mpo sokon

    Mount meru Arusha naomba muwe serous,,,,hasa madaktar upande wa. Kutoa majibu ya vipimo ya wagonjwa,,,, kaz n kuingia na kutoka kama mpo sokon.
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Mitsubishi RVR-e. Jaribio jingine la Mitsubishi kuingia kwenye soko la EV

    Mitsubishi ni moja ya waanzilishi wa Magari ya Umeme (EV) ambapo mwaka 2009 alitoa Mitsubishi i-MiEV. Pamoja na kwamba mauzo hayakua ya kimapinduzi kama Nissan Leaf au Tesla, ila credits wacha apewe. Mbali na i-MiEV, pia alitoa Minicab EV na Eclipse Cross EV. Hayo tuyaache. Sasa, tuna RVR...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kati ya kumuoa au kuolewa na mtu asiyefaa au kuingia katika familia isiyofaa... ni kipi kibaya zaidi?

    Kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi ni kubaya zaidi kuliko kuingia kwenye familia mbaya. Hii ni kwa sababu mwenzi wako ndiye mtu utakayeishi naye kila siku, mtakayeshirikiana chumba kimoja, na unayemtegemea kwa usalama wako wa kihisia na kimwili. Ingawa hali zote mbili zina changamoto kubwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Naomba kufahamishwa iwapo HESLB wamebadili viwango vya boom kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo

    Habari, wana-JamiiForums. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu ninayetarajia kuingia mwaka wa tatu hivi karibuni. Nimebaini kuwa HESLB imeweka kiasi cha TSh 2,310,000 kama jumla ya malipo ya MA (boom) kwa mwaka, badala ya TSh 2,400,000 kama ilivyoelezwa kwenye mkataba wangu. Aidha, kiasi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad: CHADEMA ni muhimu kuingia kwenye maridhiano kutokana na ukubwa wake

    Mwenyekiti wa Taasisi ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad amevitaka vyama vya siasa nchini kuweka mbele maslahi ya taifa na kukubali maridhiano kwa ajili ya kulinda amani, umoja na maisha ya Watanzania. Amesema maridhiano yanahitaji busara, hekima na utayari wa kila upande...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi

    Wakuu habari ya jumapili? Nimewahi kukutana na mwanamke aliye kwenye ndoa ambaye alionyesha wazi kuwa ananitaka kimapenzi. Hadi ilifika hatua ya kuingia getoni kwangu, lakini niliamua kumkataa. Mpaka najiuliza mwanamke ameolewa ila haridhiki
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi unalipishwa ushuru wa kuingia ndani

    Stendi ya Dodoma hata kama una tiketi wanataka abiria walipe ushuru wa kuingia ndani ya stendi. Naenda kupanda kwa ajili ya safari yangu na nina tiketi ya Machine kabisa, then inakuwaje nilipie tena kuingia kwenda kupanda basi? Tulitaka walau tupandie mjini kwenye office za mabasi ila...
  13. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anakaribia kuingia kwenye 18

    Hizi ni classified approved & Trusted info ambazo hata yeye anazo. Huwezi teka na kuua ua hovyo ukadhani uko salama. Kama anabisha afanye mkutano wa hadhara na wananchi waliomchagua aone😂 Cc. Mafwele Muliro Mkunda
  14. PART ASIFIWE MALILA

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuingia kwenye uraibu

    Kwenye maisha yetu ni rahisi sana kuingia kwenye changamoto za uraibu bila ya kutaka au kutotaka. Lakini jambo la msingi ni kufahamu namna ya kumsaidia mtu..... Lakini kabla ya hapo ni vema kufahamu kuwa huyu mtu anapitia hatua kama majaribio yaani experimentation ili kuingia kwenye uraibu...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kilangalanga Sekondari, Walimu wanamnyima Mwanangu cheti kisa hajalipa 40,000 ambayo walimu walitaka walipwe kuwasimamia watoto kuingia prepo

    Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliyemaliza kidato cha sita Kilangalanga Sekondari, nikiri kuwa ni kweli mtoto wangu hakulipa hiyo fedha kiasi cha sh. 40,000 kama ambavyo walimu walitaka kila mtoto alipe fedha hiyo wakidai ni kwa ajili ya kuwasimamia wajisomee usiku wakati wa prepo. Walimu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  18. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kuingia mzimamzima kuisaidia Ukraine 🇺🇦 vita dhidi ya Urusi 🇷🇺

    HABARI Kansela wa Ujerumani, Friedrich Merz, amewasili katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, akisema Rais Volodymyr Zelenskiy anaweza kutegemea uungwaji mkono wa Ujerumani, huku mashambulizi ya Urusi yakizidi. Merz, pamoja na wakuu wa kampuni kadhaa za ulinzi, amesema mashine ya vita ya Urusi...
  19. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Edwin Sifuna Azindua The Equitable Party, Atangaza Kuingia Kwenye Kinyang’anyiro cha Urais 2027

    Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amezindua rasmi The Equitable Party (TEP), akichukua uongozi wa chama hicho na kutangazwa kuwa mbeba bendera wake wa Urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Lakini TEP si chama kilichoanzishwa leo. Dkt. Gilbert Marava Shanga, Mkenya anayeishi Marekani...
  20. cocastic

    JamiiForums Tanzania Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

    Content creator na socialite wa South Africa anayejulikana km Austin Mzukwa na mpenzi wake wamezuliwa kuingia visiwani Zanzibar baada ya kugundulika kuwa wana mahusiano ya kimapenzi ya jinsia 1. Hali hiyo imetokea uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume, ambapo wafanyakazi na walinzi wa hapo...
Back
Top Bottom