kuingia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusolve

    Maisha bila ya kuingia JF

    Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
  2. Mindyou

    Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  3. Dennis R Shughuru

    Ni kituko kuingia mkataba wa USD billion 42 za mkopo kwa ajili ya mradi mmoja tu wa kutengeneza natural gas refinery

    Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
  4. K

    Mwanamke kuingia kwenye ndoa na kuitwa 'Kumstiri' imekaaje?

    Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia kwenye jamii. Yeyote awe Mwanaume au Mwanamke Umri wa kutimiza ndoa ukifika na Jambo hilo likatimilika...
  5. W

    Vijana mnaotaka kuingia kwenye ndoa kuweni makini sana

    Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao. KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  7. Trainee

    Nashindwa kuingia kwenye account yangu ya bodi ya mikopo(HESLB)

    Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendelea
  8. Thabit Madai

    Pre GE2025 Kwanini Wanawake wanashindwa kuingia katika majimbo nabadala yake kubakia katika nafasi za Viti Maalumu?

    NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo. Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
  9. kavulata

    Tanzania tusiwe mbali na BRICS, tutachelewa

    Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko 50/50. Hii imesababisha kukosa fursa nyingi kutoka Magharibi na Mashariki na Asia (waisalamu). Kenya...
  10. Marashi

    Tanzania imesaini MoU na Iran leo

    Kutoka Tehran, IRAN taarifa zimesambaa kutokana na Taarifa iliyowekwa kwenye habari picha kwa mujibu wa Chombo cha Habari cha Iran.
  11. Lady Whistledown

    Pre GE2025 Ni mambo gani yanawakwamisha Wanawake kuingia katika Siasa na Uongozi hapa Tanzania?

    Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za Mitaa na Udiwani Upendeleo wa kijinsia na ukosefu wa rasilimali ni baadhi ya changamoto kubwa...
  12. Under-cover

    Ni biashara gani uliwahi kuambiwa ukifanya utapiga pesa sana ila baada ya kuingia mchezoni ulibaki unajuta?

    Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui unaelekea wapi. Kudownload na kuinstall pesa. Bajaji Biashara ya kukopesha pesa, yani ukimuona unaemdai...
  13. Bob Manson

    Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo? Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
  14. W

    Maafisa Polisi wazuiliwa kuingia na Miili isiyojulikana Mochwari Jijini Nairobi

    Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS) Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
  15. Logikos

    Nishati Safi ya Kupikia (PPP tunayohitaji Kuingia)

    Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...
  16. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Kihenzile: Sekta Binafsi Kuingia Kwenye Usafirishaji wa Reli (MGR & SGR)

    Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 01, 2024 amezindua usafirishaji wa bidhaa mbichi zikiwemo mbogamboga na matunda kwa treni, kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam...
  17. Chachu Ombara

    Watoto 21 wuawa Lebanon katika mashambulio ya Israel huku idadi ya vifo ikifikia 274

    Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon. Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukiambiwa Binti yako yupo geto na msela usiharakishe kuingia

    Wakuu ni uhakika? Ni story huwa inanichekesha hata nikiwa mwenyewe nikikumbuka tu. Ilikuwa mapema ya saa2 usiku tupo kijiweni mimi jamaa 3 tunapiga story kadhaa wa kadhaa Mara jamaa mwingine kaja speed akimtafuta Bw j.Tukamuuliza kulikoni speed hivi mkuu? Akajibu asee namtafuta mr j binti...
  19. Eli Cohen

    Je, Poland na Hungary waitwe wabaguzi kwa kuweka ulinzi mkali na kuzuia wahamiaji kuingia kiholela katika mipaka yao.

    Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela. https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B Hapa ni vikosi vya usalama vya...
  20. demigod

    Sioni Simba SC Akifuzu Kuingia Makundi Kombe la Shirikisho CAF.

    Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi. Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji. Sioni namna ule Moto atalio pelekewa...
Back
Top Bottom