Wee katoto kuwa na adabu japo kidogo. Nimekuwepo JF tangu mwaka 2006 ikiitwa JamboForums, basi jipe nafasi kidogo tu ya kujitafakari na kuona kama Kuna ulazima wa kumtukana mtu ambaye hajakujosea lolote.
Kwenye mikikimikiki yote ya JF nimekuwepo hapa, hadi tukabadilisha baadhi ya ID, mpaka tukahamia Kenyanforums, tulikuwa tunapashana taarifa kichinichini.
Je nimefanya ubaya kukuuliza ni lini JF ilipotoa tangazo rasmi kwamba Tuanze kutumia VPN?
Dogo
Mtoto wa Shule usidhani mimi matusi siyajui, nikifungulia hapa mtambo utamsikitikia mama yako kwanini alikuzaa.
Sitaki tufike mbali ila jihadhari na
Bujibuji Simba Nyamaume zee la hovyo