kuelekea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Mbeya yapata Joto la Siasa: Wasafwa na Wanyakyusa watajwa katika Mjadala wa Ukabila kuelekea Uchaguzi wa CCM 2027

    MBEYA, joto la kisiasa linaanza kupanda kuelekea uchaguzi wa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa mwaka 2027, huku mjadala kuhusu ukabila kati ya Wasafwa na Wanyakyusa ukizidi kujitokeza katika mazungumzo ya kisiasa. Vikao na vijembe vya chini kwa chini vinaendelea, hali inayofanya suala la...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea Oktoba 29, 2026: Bila VPN JamiiForums.com haifunguki!

    Nimehangaika Sana kuingia JF usiku huu, lakini baada ya ku connect li VPN la Kimakonde, wazungu hawa.... Usifute VPN kibindoni mwako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Misa za October 29, 2026.

    Tunapokaribia kufanya Misa za October 29, 2026, napendekeza kwamba, siku moja kabla ya tarehe hiyo, kila mtu afanye mfungo Mtakatifu, yaani asile wala kunywa chochote, asifanye starehe yoyote ikiwa ni pamoja na kujizuia kabisa kula chapati ya usiku. Mfungo uambatane na kutubu dhambi zetu. Siku...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tishio la kiusalama kuelekea 29 October 2026

    Kuna tishio la kiusalama kuelekea tarehe 29/10/2026 TAARIFA kutoka makumbusho zinaeleza Wanapanga tuweka lockdown once again
  5. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 29 Oktoba 2026: Mbona serikali inaogopa TEC kuwaombea wauaji?

    Mapadre wawili, Stanslaus Muyebe na Alex Muyebe (2001), katika kitabu chao kiitwacho “The African Bishops on Human Rights: A REsource Book,” wanafafanua misimamo thabiti ya Maaskofu Kuhusu wajibu wetu wa kukuza na kuhami haki za binadamu, zikiwemo haki za kidini. Kuhusu haki za kidini, Muyebe...
  6. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Elimu ilianzia ikulu ikapelekwa tandale na haikuanzia buza kuelekea ikulu.

    Habari wakuu. Zingatia kichwa cha habari tajwa hapo juu, soma kwa kutafakari sababu huu uzi mfupi unakupa majibu kwanini elimu ya sasa licha ya kusoma mpaka chuo kikuu ila haimsaidii mtu mmoja mmoja asiye na ajira kujikwamua kiuchumi. Kihistoria elimu ilianzia ikulu special for kings, prince...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Oktoba 29: Je, Umeshasahau Ulipokuwa na Ulichokuwa Unawaza Muda Kama Huu Mwaka Jana? (Uzi Maalumu wa Kumbukumbu)

    Ni ngumu kuamini kuwa tayari tunakaribia kutimiza mwaka mmoja tangu nchi yetu ipitie moja ya vipindi vyake vigumu na vyenye taharuki kubwa katika historia ya hivi karibuni—matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Muda kama huu, wiki moja kabla ya tarehe 29 mwaka jana, anga la kisiasa na...
  8. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Vijana na Uchaguzi wa 2030: Funzo kutoka kwa Jihan

    Great Thinkers, Ushindi wa Jihan Dimack katika Miss Grand International 2026 nchini Thailand umetupa somo kubwa kuhusu nguvu ya umoja. Watanzania waliungana kumhamasishia kura na kumuunga mkono kupitia mitandao na mikusanyiko mbalimbali. Kwangu, namna vijana walivyojitoa katika kampeni hiyo...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malori yanayoegesha barabarani Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo ni kero kubwa

    Kwa masikitiko makubwa, napenda kuwasilisha kilio cha wananchi kuhusu hali inayoendelea katika Barabara ya Ubungo Maziwa kuelekea Kigogo, ambapo malori makubwa yamekuwa yakipaki kandokando na hata sehemu ya barabara kwa muda mrefu, hali inayosababisha msongamano mkubwa wa magari, usumbufu kwa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania EAC Kuimarisha Ushirikiano Sekta ya Utalii Kuelekea AFCON 2027

    Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) imeazimia kuimarisha ushirikiano wa kikanda katika sekta ya utalii na usimamizi wa wanyamapori, ikiwemo kuoanisha sera, mifumo ya udhibiti, masharti ya utoaji wa leseni na viwango vya ubora wa huduma na kuitangaza EAC kama kituo kimoja cha utalii, ili kuongeza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania HOJA LATRA toeni vibali kwa daladala, Mwendokasi peke yake haiwezi kukidhi ruti ya Mbagala - Mjini

    Maeneo ya Mbande, Msongola, Kitonga kumeanza kuwa na shida ya usafiri wa kuelekea katikati ya mji yaani Posta na Kariakoo. Hii ni kwa sababu gari zote zenye hizo ruti za Stesheni, Posta & Gerezani Kariakoo zimekuwa zikinyimwa vibali za kutoa huduma kwenye hizo ruti. Ikumbukwe awali mnamo Juni...
  12. Deus Jovin

    JamiiForums Tanzania Dokezo la Usalama wa Kimkakati: Wito wa Kupunguza Mbinu za Kimabavu na Njia Mbadala za Mabadiliko Kuelekea 2029

    Mheshimiwa Msomaji, Husika na mada iliyotajwa hapo juu. Nina heshima kubwa kuwasilisha rasmi kwako Jalada la Usalama wa Kimkakati kuelekea Tanzania 2029, lililoandaliwa na Baraza la Kufikirika la Ushauri Kuhusu Utawala Bora na Usalama wa Kimkakati. Jalada hili limetayarishwa kufuatia tathmini...
  13. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Edwin Sifuna Azindua The Equitable Party, Atangaza Kuingia Kwenye Kinyang’anyiro cha Urais 2027

    Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amezindua rasmi The Equitable Party (TEP), akichukua uongozi wa chama hicho na kutangazwa kuwa mbeba bendera wake wa Urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Lakini TEP si chama kilichoanzishwa leo. Dkt. Gilbert Marava Shanga, Mkenya anayeishi Marekani...
  14. albab

    JamiiForums Tanzania Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

    Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC. Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro Mjini: Barabara ya kuelekea Kididimo iboreshwe wakati wa mvua itasumbua

    Wananchi wa Morogoro Mjini, Kata ya Magadu, tunaomba kupaza sauti kuhusu hali mbaya ya barabara inayoelekea kwenye Kota za SUA zilizopo Kididimo. Barabara hiyo imekuwa mbovu kwa muda mrefu, licha ya SUA kuwa na magari na uwezo wa kufanya matengenezo ili ipitike vizuri. Hali hii imekuwa kero...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna kiongozi wa Yanga anafanya mawasiliano na baadhi ya wachezaji wa Simba ili awarubuni kuelekea darby ya kariakoo ya tar.10.10.2026

    Hapo vip! Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi. Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania CAF Yasifu Maandalizi ya Tanzania kuelekea AFCON 2027

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), kupitia Rais wake Patrice Motsepe, limeeleza kuridhishwa na maendeleo ya maandalizi ya Tanzania kwa ajili ya AFCON 2027. Motsepe amesifu juhudi zinazofanywa nchini katika kuboresha miundombinu ya viwanja na maandalizi mengine, huku akisisitiza...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mchinjita: Mikoa itangaze maeno hatarishi kuelekea El Nino, yaandaliwe maeneo salama

    Septemba 6, 2026 Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Isihaka Mchinjita alizungumza na Wanahabari, pamoja mambo mengine alizungumzia suala la El Nino na jinsi Serikali inavyoshindwa kujiandaa kukabiliana nayo. ACT Wazalendo hatutaki maneno bila vitendo, kwa kuwa mvua hizi zinaweza kusababisha...
  20. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Nakaribia Kuingia Kwenye Kusudi Langu Kuu

    Ndugu zangu.. Ni najiona kabisa, baada ya mwaka 1 au 2 ni taanza kuingia rasmi kwenye purpose yangu.. I was made to become the GOAT yaani kwenye field yangu, au kile nikifanyacho. I'm highly favored by the most high na niseme tu ya kuwa nashukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa karama hii kuu...
Back
Top Bottom