Club ya Rio-De-Janeiro iliyopo bukoba mjini sio salama tena kuelekea mvua za Elnino

albab

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
2,201
Reaction score
3,703
Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC.

Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa wafuasi wa ZACHWA, Wametukanwa na wakati mwingine kudhalilishwa kupitia mitandao ya kijamii.

NEMC wameshatembelea eneo hilo na hakuna lolote lililofanyika licha ya club hiyo kumwaga maji taka kwenye mto huo.

Wakati wa ujenzi wa daraja la kanoni siasa ilitumika jengo hilo halikubomolewa sasa muda umefika ukweli unaanza kuonekana wazi kingo zimetanuliwa kurusu maji kupita kama sehemu ya maandalizi ya mvua za Elnino ukuta wa club hiyo kwa sasa ndio kingo jambo ambalo ni hatari wa usalama wa watu mana tayari foundation ya jengo hilo ipo uchi kabla ya mvua kunyesha.

Zachwa kwa sasa anatafuta mchawi bila kujua lilikua swala la muda tu.

Sitashangaa akiendelea kuwepo hapo licha ya hatari iliyopo kwa sababu tu ni mwana CCM.

VIONGOZI WA WILAYA YA BUKOBA NA MKOA WA KAGERA KWA UJUMLA TIMIZENI WAJIBU WENU AU SUBIRINI MAAFA NDIO MSTUKE.

20261003_162826.jpg
20261003_162826.jpg
20261003_162740.jpg
20261003_162740.jpg
 
Attachments

  • 20261003_162808.mp4
    16.6 MB
Acha kutisha watu wewe,hakuna elnino Wala kaka yake
Sawa Mkuu ila kilichopo hapo ni sahihi sio.

Tuseme elnino haipo NDIO vipi hilo eneo usalama wake kumbuka wakati wa mvua za kawaida huo mto hua unajaa
 
Bukoba ki jiolojia hapo mjini kumejibana sana.Inabidi kuangalia jinsi ya kusogeza mji kilazima
 
Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC.

Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa wafuasi wa ZACHWA, Wametukanwa na wakati mwingine kudhalilishwa kupitia mitandao ya kijamii.

NEMC wameshatembelea eneo hilo na hakuna lolote lililofanyika licha ya club hiyo kumwaga maji taka kwenye mto huo.

Wakati wa ujenzi wa daraja la kanoni siasa ilitumika jengo hilo halikubomolewa sasa muda umefika ukweli unaanza kuonekana wazi kingo zimetanuliwa kurusu maji kupita kama sehemu ya maandalizi ya mvua za Elnino ukuta wa club hiyo kwa sasa ndio kingo jambo ambalo ni hatari wa usalama wa watu mana tayari foundation ya jengo hilo ipo uchi kabla ya mvua kunyesha.

Zachwa kwa sasa anatafuta mchawi bila kujua lilikua swala la muda tu.

Sitashangaa akiendelea kuwepo hapo licha ya hatari iliyopo kwa sababu tu ni mwana CCM.

VIONGOZI WA WILAYA YA BUKOBA NA MKOA WA KAGERA KWA UJUMLA TIMIZENI WAJIBU WENU AU SUBIRINI MAAFA NDIO MSTUKE.

View attachment 3683162View attachment 3683170View attachment 3683164View attachment 3683163
Mkuu samahani mbona sijaona klub bali nimeona mabanda ya kufugia kuku au mimi ndio sina macho
 
Pazuri sana humo ndani,

Nakumbuka 2024 nikiwa pale ihungo kwenye mishe zetu!
Nilikula maisha kwenye zile sofa za pembeni pale huku nikinyeshewa na kimvua fulani Fulani hivi!

Nilijiona kweli nipo Rio de Janeiro Brazil kabisa na stress ziliiisha kabisa kabla sijaenda Rwenkorongo,kibara kule Bunda then Tabora,Re -energized and refreshed aiseh!!

Na eye alijengaje pale karibu na mto!!?
 
Uko sahihi ndani pazuri kiasi chake... la mwiaho ndo swali ambalo najiuliza mpaka sasa
 
Kwa muda mrefu kumekua na malalamiko dhidi ya club ya Rio De janeiro iliyopo BuKoba Mjini mali ya Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Bukoba Mjini JOAS MUGANYIZI ZACHWA @ PEDESHEE kwamba imejengwa karibu kabisa na Mto Kanoni kinyume na sheria za NEMC.

Mara zote walioleta hoja hii wameonekana wabaya kwa wafuasi wa ZACHWA, Wametukanwa na wakati mwingine kudhalilishwa kupitia mitandao ya kijamii.

NEMC wameshatembelea eneo hilo na hakuna lolote lililofanyika licha ya club hiyo kumwaga maji taka kwenye mto huo.

Wakati wa ujenzi wa daraja la kanoni siasa ilitumika jengo hilo halikubomolewa sasa muda umefika ukweli unaanza kuonekana wazi kingo zimetanuliwa kurusu maji kupita kama sehemu ya maandalizi ya mvua za Elnino ukuta wa club hiyo kwa sasa ndio kingo jambo ambalo ni hatari wa usalama wa watu mana tayari foundation ya jengo hilo ipo uchi kabla ya mvua kunyesha.

Zachwa kwa sasa anatafuta mchawi bila kujua lilikua swala la muda tu.

Sitashangaa akiendelea kuwepo hapo licha ya hatari iliyopo kwa sababu tu ni mwana CCM.

VIONGOZI WA WILAYA YA BUKOBA NA MKOA WA KAGERA KWA UJUMLA TIMIZENI WAJIBU WENU AU SUBIRINI MAAFA NDIO MSTUKE.

View attachment 3683162View attachment 3683170View attachment 3683164View attachment 3683163
Kumbe Bukoba pazuri,kwahiyo mnakunywa huku mnaangalia huo mto...
 
We nae

We nae unalako jambo na huyo kada mwenzio, karibu dar uone mito na watu walivyojenga
 
Back
Top Bottom