mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Wapi napata mbususu classic Bukoba mjini?

    Wakuu mkuyenge unadai haki yake ya kikatiba, wapi napata matoto mazuri mazuri meusi tiii yenye tacle kubwa la nusu duara, chuchu saa 6, jicho lege, kamdomo kadogo dogo, tumacho twa wizi wizi, guu la bia na kiuno chembamba? Nataka kujaribu kupiga katerero.
  2. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Hongera UWT Moshi mjini kuanzisha mradi wa ushonaji ,Jumuiya nyingine za CCM ziige mfano huu

    Moshi Hatua ya Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT)Moshi Manispaa kuanzisha mradi wa ushonaji nguo zikiwamo sare za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni hatua ya kupongeza. Pia hatua hii ya kuanzisha mradi huo ni mfano wa kuigwa na Jumuiya zote za Chama Cha Mapinduzi (CCM),ikiwamo umoja wa vijana wa...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwalunenge: Tanzania ya Rais Samia ni kama Ulaya

    Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanikisha ujenzi wa Mji wa Serikali, akisema kuwa hatua hiyo inatekeleza mojawapo ya malengo yaliyokuwa yamewekwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Amesema hayo wakati akieleza kuhusu ziara...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nimetembelea mjini Twitter na instagram, idadi ya watu wanaotekwa na kupotea inatisha

    Wakubwa,ni Mimi tuu ,Nina mda siajaenda miji miwili mitakatifu, Twitter na inster ,Kuna clip nyingi za watu wanaolalamika ndugu zao hawaonekani ? Hii Ina maana gan kama taifa . Kwa sasa nchi yetu Ina laana cyo bure Siombei ila nataka niseme ,, "TANZANIA NOW ITS NOT A COUNTRY " But the...
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania HOJA Bomoabomoa ya majengo Nzega na Tabora mjini haiana afya kwa Serikali. Waziri mwenye dhamana jiandae kutumbuliwa

    Tumeona waziri mwenye dhamana masanja kadogosa kaagiza TANROAD kubomoa majengo ambayo yamepita kwenye reserve ya barabara hasa maeneo ya mjini ambapo watu wanajitafutia kipato. Ni kweli watu walikosea kujenga katika maeneo hayo kwa sasa umewapa siku saba wabomoe wenyewe na wasipofanya hivo...
  6. N

    JamiiForums Tanzania JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui

    JamiiClub Sasa Rasmi Play Store: Live Streaming na Fursa Mpya kwa Watengeneza Maudhui JamiiClub, bidhaa mpya rasmi na sasa inapatikana kwenye Google Play Store. Watumiaji wanaweza kuipakua na kuanza kuitumia. JamiiClub inalenga kutoa suluhisho mbadala katika huduma za mitandao ya kijamii...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Askari wa Barabarani Arusha wanatunyanyasa sisi madereva Bajaj

    Mimi ni mkazi wa Arusha. Kero yangu inahusu baadhi ya askari wa usalama barabarani (trafiki) ambao wanatunyanyasa sisi madereva wa bajaji. Kuna maeneo ya Arusha mjini ambayo haturuhusiwi kuingia, licha ya kuwa maeneo hayo ndiyo yenye fursa nyingi za kupata riziki. Tukiingia maeneo hayo na...
  8. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Utapeli Mpya Mjini!

    "Yaya"- dada wa kazi wangu alitumiwa sms/ujumbe ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777-77 98 45 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED Haya hapa maboresho ya njia mpya ya Mabasi ya Mjini (Daladala) kwa Dar yaliyofanywa na LATRA

    MABORESHO NA NJIA MPYA ZA MABASI YA MJINI (DALADALA) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM Dar es Salaam 20 Oktoba, 2026 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) katika hatua ya kuboresha upatikanaji wa huduma ya usafiri wa abiria inatangaza maboresho katika baadhi ya njia pamoja na uanzishaji wa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️ Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men UPDATE: Vyanzo vya uhakika vimethibitisha kuwa Mwaipaya amechukuliwa na 'watu wasiojulikana' jijini Nairobi baada ya kuwa tracked kwa...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini makamu anazunguka mijini tu? Akumbushwe Tanzania ni zaidi ya mjini.

    Tangu amepewa kiti cha Balozi Mseminari makamu mpya yeye shughuli zake na matukio yake ni mjini tu na nje ya nchi, sijawahi kumuona akifika mashinani huko kusiko na barabara na maji ya bomba ni ndoto ambako wanawake na watoto wanazunguka kwa miguu, punda na baiskeli kuyasaka maji kwa madumu na...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Shkamoo mbeya mkuu wa mkoa asalimu amri baada ya mgomo na maandamano kupinga kuondolewa mjini kiholela!

    Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao. Kutokana na shinikizo hilo serikali...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa sisi Watibeli; Jogoo la shamba linawika Mjini vizuri tuu

    KWA SISI WATIBELI; JOGOO LA SHAMBA LINAWIKA MJINI VIZURI TUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Haya sio majivuno. Wala sio matambo. Bali ni ukweli kuhusu sisi Watibeli. Haijalishi Mtibeli kazaliwa kazuramimba, kazaliwa chini ya mti. Kazaliwa kijumba cha udongo. Kazaliwa ndani ndani huko...
  14. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nimesikia list ya makampuni na line of businessses ambayo tony kapola amesema ana miliki then nikajisemea kimoyo moyo: "kweli mjini shule"

    Mjini kila mtu ni mteja, kila shida ya mtu ni fursa kwa mwingine, kila pesa yako lazima itumike na hayo maisha yako ndio mtaji kwa wegine.
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Unajiitaje mtoto wa mjini (born town ) na huna mganga wa uhakika au huwajui waganga?

    Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake . Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na hujui namna ya kuipangua maana si kila kesi utaweza kutumia pesa kuizima, kesi zingine zinahitaji...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimetengeneza samani katika Zahanati ya Seseko na Ihapa, miaka mitatu sasa sijalipwa fedha zangu

    Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na rafu za dawa katika zahanati za Seseko na Ihapa. Thamani ya kazi hiyo ilikuwa jumla ya Sh8,720,000...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo kushiriki kikao cha "The Face of Digital Democracy 2026", Copenhagen, 7/10/2026

    Oktoba 7, 2026, Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiAfrica, Maxence Melo atashiriki kikao kazi cha "The Face of Digital Democracy 2026" Mjini Copenhagen kilichoandaliwa na Good Commons ambao ni umoja ulioanzishwa na JamiiAfrica kutoka Tanzania, IMS kutoka Denmark na Splice Media kutoka Singapore...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mtwara Mjini mnakata sana umeme Mtaa wa Sino, mnaharibu vitu vyetu

    Kero yangu ni umeme, nipo Mtwara Mjini, Mtaa wa Sino, leo ni siku ya tatu wanakata umeme jioni Saa 12:30 unaweza kuwaka tena Saa 4 Usiku ila pia asubuhi wanakata pia Saa 12 hatuna taarifa ni kwa nini wanakata umeme wanaharibu vyakula vyetu.
Back
Top Bottom